Ili kuwakomesha Yanga wacheze hii Dabi watake wasitake ni kuja na kauli mbiu tu "DABI YA MAMA"

Ili kuwakomesha Yanga wacheze hii Dabi watake wasitake ni kuja na kauli mbiu tu "DABI YA MAMA"

Ili kuwakomesha Yanga wacheze hii Dabi watake wasitake ni kuja na kauli mbiu tu "DABI YA MAMA" Kauli mbiu iendelee kidogo iseme "NITAKUWEPO KWA MKAPA KWENYE DABI YA MAMA. WEWE JE?"

Tuone kama hawa watoto wa GSM wataendelea kukaza hahahaaaaaa.
Hakuna kitu kama hicho wakitaka Tanzania wafungiwe na FIFA wafanye kitu kama hicho ila kwavile wanasiasa wetu wanatumia unyumbu wa kisiasa huwezi kushangaa wakajaribu kufanya hivyo ila kwa jicho langu la tatu kwa bodi hii iliyopo hakutakuwa na derby
 
Basi Rage akiona mada kama hizi huko aliko atakuwa anacheka tu, na kujiona ni bonge la mtu anayewaza mbali.
Kama ambavyo Prof. Luc Eymael akiona kelele za watu kubweka bweka wakitishia kwenda CAS kudai point za bure anavyojiona mtu anayewaza mbali
 
Sipo na Yanga kwenye hili sakata ila watu mnasahau hizi timu mbili zina nguvu kuliko chama chochote cha siasa.

Yanga au Simba ikiamua waziwazi kumkataa kiongozi wa kisiasa na ikakaza kweli kweli, huyo kiongozi lazima aanguke.

Hivi vilabu viwili vinaonekana dhaifu mbele ya wanasiasa kwa sababu viongozi wake wamepachikwa na wanasiasa kwa hiyo lazima wafuate masharti, vigezo na mashinikizo ya kisiasa. Mambo ya kulipa fadhila kwa wanasiasa yamewapotezea weledi na ujasiri wa kusimamia kwa dhati yale yaliyo na manufaa kwa vilabu vyao.
Unajidanfanya sana.
Labda ungesema wanaweza kuwa waasi kama wa m23 na nchi isikalike maana nchi hii asilimia kubwa wanashabikia uchawi wa hivi vilabu badala ya soka
 
Unajidanfanya sana.
Labda ungesema wanaweza kuwa waasi kama wa m23 na nchi isikalike maana nchi hii asilimia kubwa wanashabikia uchawi wa hivi vilabu badala ya soka
Sidhani kama umenielewa au mimi ndiyo sijakuelewa wewe au vyote viwili kwa pamoja.
 
Sipo na Yanga kwenye hili sakata ila watu mnasahau hizi timu mbili zina nguvu kuliko chama chochote cha siasa.

Yanga au Simba ikiamua waziwazi kumkataa kiongozi wa kisiasa na ikakaza kweli kweli, huyo kiongozi lazima aanguke.

Hivi vilabu viwili vinaonekana dhaifu mbele ya wanasiasa kwa sababu viongozi wake wamepachikwa na wanasiasa kwa hiyo lazima wafuate masharti, vigezo na mashinikizo ya kisiasa. Mambo ya kulipa fadhila kwa wanasiasa yamewapotezea weledi na ujasiri wa kusimamia kwa dhati yale yaliyo na manufaa kwa vilabu vyao.
Ndo hvyo mkuu,vina nguvu sana lakin sahv vinamilikiwa na wafanyabiashara,ili mambo yao yaende hawana budi kuwa chawa wa utawala uliopo
 
Hakuna cha kuita sijui dabi ya nani wala nani, dabi ikipangwa Yanga watakuja kucheza tu, hawana sababu ya msingi ya kutokucheza dabi, hivi vilabu vikubwa vinajitia sana jeuri.
 
Ili kuwakomesha Yanga wacheze hii Dabi watake wasitake ni kuja na kauli mbiu tu "DABI YA MAMA" Kauli mbiu iendelee kidogo iseme "NITAKUWEPO KWA MKAPA KWENYE DABI YA MAMA. WEWE JE?"

Tuone kama hawa watoto wa GSM wataendelea kukaza hahahaaaaaa.
Ikiwa hivyo huenda ccm wakaicheza derby na wakimbizi wa derby
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Hamna ubavu Wala uwezo wa kutocheza mechi. Hamna nguvu hio. Kwanza yanga bila gsm ni wachovu na maskin tu. Gsm ndio anawafanya hata makapuku mjini watu wa yanga mvimbe na jezi za elfu 10.
 
Hata Mama hatapenda kwenda mahali ambapo hakuna uhakika wa mechi.

Wapate suluhu kwanza ndipo mambo mengine yafuatie.

Yanga ni Wataalam katika maamuzi, tuliwahi kufukuza wachezaji wote pamoja na Kocha wao wakaenda kuunda Timu ya Pan African.

Majuzi, kuna refa alikuwa mzinguaji. Walimpa kibano na mechi wakasusia.
Mechi ipi chini ya uongozi wa Mwamba Karia ,kua utopolo walimpiga refa na kususia mechi.
 
Hamna ubavu Wala uwezo wa kutocheza mechi. Hamna nguvu hio. Kwanza yanga bila gsm ni wachovu na maskin tu. Gsm ndio anawafanya hata makapuku mjini watu wa yanga mvimbe na jezi za elfu 10.
Je nani anawavimbisha kolo na jezi ya afu tano?
 
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Kama ilivyo kwa Luc Eymael kuwaita Manyani na Manara kuwaita hamnazo siyo?
JamiiForums-189255672.jpg
 
Back
Top Bottom