William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
-
- #21
uelewa ndio umekuja mwaka huu. Mi sijakataa kucheza na timu za chini. Shida mechi zote na vitimu vya chini.Mtoa post mshamba wa preseason achana nae.
Yaani sababu mnazozitumia kuhalisha umakolo wenu huku mkiwa na SANDA zenu ni za ajabu sana..!!! Yaani unacheza na timu inayoshuka daraja ukiulizwa kwanini, unajibu Yanga nao walifanya hivyo, dah..!!!
Basi tufanye Yanga hawakucheza na Friends Rangers na Simba haikucheza na CSKA MoswowYaani sababu mnazozitumia kuhalisha umakolo wenu huku mkiwa na SANDA zenu ni za ajabu sana..!!! Yaani unacheza na timu inayoshuka daraja ukiulizwa kwanini, unajibu Yanga nao walifanya hivyo, dah..!!!
Kwa hiyo tatizo sio udogo wa timu, ila mahali walipochezea, au sio?Ili
Ilikuwa home au alisafiri. Kama alitaka mechi ndogo angesubiri bongo wacheze na mabingwa masoko cup
Achana na huyo lumbwiKwa hiyo tatizo sio udogo wa timu, ila mahali walipochezea, au sio?
Kwa hiyo mipango ya Azam unataka itumike Simba SC?uelewa ndio umekuja mwaka huu. Mi sijakataa kucheza na timu za chini. Shida mechi zote na vitimu vya chini.
Kwanini Azam kawaomba wakubwa wote Morocco. Whydad, Bercane na Raja
Sasa Kama ni ivyo kilichowapeleka misri ni Nini? Kwa timu anazocheza nazo ata hapa bongo zipo zimejaa, zipo za ligi za mikoa angeweza kucheza nazoKina bayern munich huko huwa wanacheza mpaka na timu za daraja la 4 huko..
Kwani umekasirika? π πHapo hakuna kocha subirini tarh 8 muanze kufukuzana. Badala ya kwenda mbele mnarudi nyuma kisa wanadai wamesajili vijana ndiyo maana wanacheza na timu ndogo.
We kichwa maji kweli...Chelsea alicheza na Wrexham iliyo daraja la 2 katika hii pre season.Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.
Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake.
Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa.
Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza kujikwamua kushuka dalaja la Pili mechi ya Pili misri. Hapo anajifunza nini?
Ata kwenye hiyohiyo ligi angecheza ata na timu inayopanda daraja. Maana ilishaisha.
Ata timu za ligi dalaja la kwanza kakosa. Huu ni upuuzi.
Azam Mechi ya pili ni Whydad. Yanga kacheza na timu Tatu kubwa South Africa.
Aina ya mechi ambazo fadlu anaziomba basi angefanya pre season bongo acheze na Kurugenzi ya Maswa. Maana akina biashara na Mbeya kwanza ni wakubwa mno kwa mechi anazocheza.
Ata SIMBA DAY TUTEGEMEE TIMU NDOGO KABISA KUCHEZA NA SIMBA.View attachment 3054664F
AaahhaaaaKina bayern munich huko huwa wanacheza mpaka na timu za daraja la 4 huko..
Yeye anachukulia pre season kama aina flani ya mashindano anahitaji kueleweshwa maana ya pre season.Hizi mechi ni kama yale mabonanza ya wafanyakazi, wanaweza wakacheza hata vipindi vinne vya dk 30 au vitatu.
huwezi safiri hadi misri ucheze na timu ya dalaja la pili mwishoni ukoooo. Uo ni usengelema uliopitiliza.Kwa hiyo tatizo sio udogo wa timu, ila mahali walipochezea, au sio?
Kwani pre season Simba iko pekeyake jamani.Yeye anachukulia pre season kama aina flani ya mashindano anahitaji kueleweshwa maana ya pre season.
Mkuu, nahisi huelewi main activity inayotakiwa kufanyika pre season. Nahisi unadhani preseason ni kucheza mechi za kirafikihuwezi safiri hadi misri ucheze na timu ya dalaja la pili mwishoni ukoooo. Uo ni usengelema uliopitiliza.
Kama alitaka aone kikosi mechi za aina hiyo zingechezwa chamazi. Huko tungeona gemu za kujipima nnguvu.
Kwani Simba kaanza kwenda nje mwaka huuu. Hivyo makocha wote wa awali hawakuziona hizo timu ndogo.
Kumaliza mama yake Fadlu Anatuulia timu uko.
Niambe sasa hizo timu Simba inajifunza nini.??? Acheni ushamba wa kukubali kila unalosikia na kuona sawaKwa hiyo mipango ya Azam unataka itumike Simba SC?
Kaka hujui lolote kuhusu mpira. Unaongozwa na media na wachambuzi uchwala wasiojua lolote kuhusu mpira.Mkuu, nahisi huelewi main activity inayotakiwa kufanyika pre season. Nahisi unadhani preseason ni kucheza mechi za kirafiki
Gwandileee!!!!! Kwanini unaleta ukuNilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.