Ili la Fadlu David Simba litawacost mnoo. Huwezi kucheza Pre season ya pili na Telcom inayopigania isishuke kutoka Ligi daraja la pili.

Yaani sababu mnazozitumia kuhalisha umakolo wenu huku mkiwa na SANDA zenu ni za ajabu sana..!!! Yaani unacheza na timu inayoshuka daraja ukiulizwa kwanini, unajibu Yanga nao walifanya hivyo, dah..!!!
Basi tufanye Yanga hawakucheza na Friends Rangers na Simba haikucheza na CSKA Moswow
 
uelewa ndio umekuja mwaka huu. Mi sijakataa kucheza na timu za chini. Shida mechi zote na vitimu vya chini.
Kwanini Azam kawaomba wakubwa wote Morocco. Whydad, Bercane na Raja
Kwa hiyo mipango ya Azam unataka itumike Simba SC?
 
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.

Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake.

Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa.

Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza kujikwamua kushuka dalaja la Pili mechi ya Pili misri. Hapo anajifunza nini?

Ata kwenye hiyohiyo ligi angecheza ata na timu inayopanda daraja. Maana ilishaisha.

Ata timu za ligi dalaja la kwanza kakosa. Huu ni upuuzi.

Azam Mechi ya pili ni Whydad. Yanga kacheza na timu Tatu kubwa South Africa.

Aina ya mechi ambazo fadlu anaziomba basi angefanya pre season bongo acheze na Kurugenzi ya Maswa. Maana akina biashara na Mbeya kwanza ni wakubwa mno kwa mechi anazocheza.

Ata SIMBA DAY TUTEGEMEE TIMU NDOGO KABISA KUCHEZA NA SIMBA.View attachment 3054664F
We kichwa maji kweli...Chelsea alicheza na Wrexham iliyo daraja la 2 katika hii pre season.

Hujui lengo la preseason
 
Hizi mechi ni kama yale mabonanza ya wafanyakazi, wanaweza wakacheza hata vipindi vinne vya dk 30 au vitatu.
 
Yeye anachukulia pre season kama aina flani ya mashindano anahitaji kueleweshwa maana ya pre season.
 
Kwa hiyo tatizo sio udogo wa timu, ila mahali walipochezea, au sio?
huwezi safiri hadi misri ucheze na timu ya dalaja la pili mwishoni ukoooo. Uo ni usengelema uliopitiliza.

Kama alitaka aone kikosi mechi za aina hiyo zingechezwa chamazi. Huko tungeona gemu za kujipima nnguvu.

Kwani Simba kaanza kwenda nje mwaka huuu. Hivyo makocha wote wa awali hawakuziona hizo timu ndogo.
Kumaliza mama yake Fadlu Anatuulia timu uko.
 
Yeye anachukulia pre season kama aina flani ya mashindano anahitaji kueleweshwa maana ya pre season.
Kwani pre season Simba iko pekeyake jamani.
Kunna Azam, Yanga na Uko nje tunaona pre season nyingi mno. Huwezi kucheza na timu za chini mfululizo uo ni usengelema
 
huwezi safiri hadi misri ucheze na timu ya dalaja la pili mwishoni ukoooo. Uo ni usengelema uliopitiliza.

Kama alitaka aone kikosi mechi za aina hiyo zingechezwa chamazi. Huko tungeona gemu za kujipima nnguvu.

Kwani Simba kaanza kwenda nje mwaka huuu. Hivyo makocha wote wa awali hawakuziona hizo timu ndogo.
Kumaliza mama yake Fadlu Anatuulia timu uko.
Mkuu, nahisi huelewi main activity inayotakiwa kufanyika pre season. Nahisi unadhani preseason ni kucheza mechi za kirafiki
 
K

Kaka hujui lolote kuhusu mpira. Unaongozwa na media na wachambuzi uchwala wasiojua lolote kuhusu mpira.

Niko na cheti cha Ukocha cha Tff Diploma C. Nimefatilia kuhusu fadlu David sii kocha kaka.
 
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.

Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake.

Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa.

Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza kujikwamua kushuka dalaja la Pili mechi ya Pili misri. Hapo anajifunza nini?

Ata kwenye hiyohiyo ligi angecheza ata na timu inayopanda daraja. Maana ilishaisha.

Ata timu za ligi dalaja la kwanza kakosa. Huu ni upuuzi.

Azam Mechi ya pili ni Whydad. Yanga kacheza na timu Tatu kubwa South Africa.

Aina ya mechi ambazo fadlu anaziomba basi angefanya pre season bongo acheze na Kurugenzi ya Maswa. Maana akina biashara na Mbeya kwanza ni wakubwa mno kwa mechi anazocheza.

Ata SIMBA DAY TUTEGEMEE TIMU NDOGO KABISA KUCHEZA NA SIMBA.View attachment 3054664F
Gwandileee!!!!! Kwanini unaleta uku
 
Back
Top Bottom