Ili ligi yetu iwe bora na ya kuvutia TFF na Bodi ya ligi inapaswa kushughulika na haya yafuatayo

Ili ligi yetu iwe bora na ya kuvutia TFF na Bodi ya ligi inapaswa kushughulika na haya yafuatayo

I had a Dream in 2014 kuifanya league ya Bongo iwe bora ambapo nilisuggest mojawapo kila game lionyeshwe kwenye TV...; Azam apewe Kudos as single handed ameweza kuitoa ligi kutoka pale mpaka hapa; Uzi niliotoa suggestions ni huu hapa

In short points zilikuwa hizi hapa:
  • Kuongeza Wadhamini
  • Kuonyesha kila Game kwenye TV
  • Kuongeza / Kubadilisha Aina ya Fungu la Kugawia Timu
  • Kuhakikisha / Kusaidia Mashabiki kuwa Regional

La pili lishafanyika na positives zake tumeziona hilo la mwisho nadhani ni more of a utamaduni na likifanikiwa hilo basi soka la bongo litakuwa sustainable sababu watu watakuwa na mapenzi na timu zao hata zikishuka daraja wanashuka nazo na zitasaidia kufanya timu zote kuwa na mashabiki na sio timu mbili wengine wasindikizaji (kutaongeza competitiveness)
 
Ratiba ya saa nane mchana ifutwe au Simba na Yanga nazo zipangiwe ratiba ya mchana wa
Hapa sijakuelewa, unataka ratiba ya saa 8 ufutwe, alafu unata Simba na yanga zicheze saa 8 mchana.
 
Basi ama wewe ni Simba luza au hueweli maana ya kudhamini.

Kudhamini maana ya yake ni kusaidia; hiyo ni tofauti kabisa na kuwekeza.

Azam TV inazisaidia timu zote za ligi kuu kwa kuwapa pesa cash TSh ili ipate haki za kurusha matangazo ya michezo hiyo.

1720299623844.png
 
Basi ama wewe ni Simba luza au hueweli maana ya kudhamini.

Kudhamini maana ya yake ni kusaidia; hiyo ni tofauti kabisa na kuwekeza.

Azam TV inazisaidia timu zote za ligi kuu kwa kuwapa pesa cash TSh ili ipate haki za kurusha matangazo ya michezo hiyo.

View attachment 3035264
Mkuu, hizo n malipo ya haki ya kuonyesha mechi zao, Azam ndio anayeonyesha ligi hvy kwakuwa anapata faida watu kununua vifurushi kwa ajili ya kuona mechi za team flani ndio mana akaambiwa anatakiwa kuwalipa, na Azam ndio anatoa pesa nyingi kwenye ligi kumzidi hata huyo mdhamini mkuu wa ligi NBC.

Yn kwa ufupi ni kwamba, Azam anapata faida kupitia kuonyesha hizo mechi ndio mana anawalipa, n sawa na ww unapofanya kazi unamuingizia faida Boss wako na yeye anakulipa sehemu ya faida uliyomuingizia ww.
 
Haya mambo ya playoff ya mtu wa ligi kuu na daraja la kwanza yafutwe tuu.
Kama playoff basi iwe daraja la kwanza kwa daraja la kwanza
 
Back
Top Bottom