GE2025 Ili lipo wazi kura za maoni kuna michezo live

GE2025 Ili lipo wazi kura za maoni kuna michezo live

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Hii nimesikia live katika kura za maoni kuna kituo wameongezwa wajumbe hewa 120 up kufika 400 na kufanya yule ambaye ana stahiri kushinda kushindwa alisikika msafiri mwezangu kwenye bus akiongea na simu

Kwa madai yake ni kuwa hata MB akimaanisha mbunge kachukia tukio ilo maana na yeye ana hisi ana fanyiwa mchezo ambapo alisema kuwa ana mshahuri MB aende ngazi za juu na taarifa izo ina onekana alikuwa ana pewa na katibu muenezi katika kusikiliza kwangu sikupata kusikia akitaja jimbo husika

Nini nataka kusema kwa namna hii ni lazima wtz kukomaa sana kupata reform yangu ni hayo tu sio mbebezi wa siasa nimewapa taarifa chambueni
 
Mdogo wangu kaa utulie hizi siasa za bongo ni ngumu......
Na nyie vijana mnahitaji reform,, ujue wajumbe asilimia mia moja ni wazee huku niliko na iko hivyo sehemu nyingi!!!!!
Wajumbe tunachagua alietoa noti za kutosha na tunaambiana kabisa huyu anapita huyu hapiti!.
 
Back
Top Bottom