Mdogo wangu kaa utulie hizi siasa za bongo ni ngumu......
Na nyie vijana mnahitaji reform,, ujue wajumbe asilimia mia moja ni wazee huku niliko na iko hivyo sehemu nyingi!!!!!
Wajumbe tunachagua alietoa noti za kutosha na tunaambiana kabisa huyu anapita huyu hapiti!.