"Ili mradi unapumua" ndiyo kigezo kilichobakia

"Ili mradi unapumua" ndiyo kigezo kilichobakia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
"Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lakini sasa nina 30 nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu.

Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja.

My take:
Hamu ya ndoa ina-frustrate watu nyie. Asikwambie mtu.
 
Kwenye macho ya watu na jamii ndoa ni furaha,but ukiwa ndani ni zaidi ya jahanamu.
Isingekuwa watoto sijui hali ingekuwaje,angalau MTU ukiwaona wanakupa faraja kidogo.
Kila jambo ukilifanya kwa pupa ukakosea lazima likupe matokeo kinyume na mategemeo yako, vivyo hivyo kwa swala la ndoa.
 
Kwenye macho ya watu na jamii ndoa ni furaha,but ukiwa ndani ni zaidi ya jahanamu.
Isingekuwa watoto sijui hali ingekuwaje,angalau MTU ukiwaona wanakupa faraja kidogo.
Hapana sio kiivyo! Ndoa tafuta yule mtu kama msela wako yaani mnaendana kabisa kutaniana, ule utani.

Haswa wanawake unaolewa na mtu ili mradi tu wakati unamuacha msela wako kisa labda hata hela mwisho wa siku hauna uhuru kabisa kwenye ndoa.
 
Hapana sio kiivyo ! Ndoa tafuta yule mtu kama msela wako yaani mnaendana kabisa kutaniana ,ule utani.

Haswa wanawake unaolewa na mtu ili mradi tu wakati unamuacha msela wako kisa labda hata hela mwisho wa siku hauna uhuru kabisa kweny ndoa
Wala siyo kweli. Fomula ya ndoa hakuna aijuaye.

Usela na maisha ni maji na moto. Kwahiyo ugomvi utaanzia kwenye ugumu wa maisha.
 
"Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lkn sasa nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu.

Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja.

My take:
Hamu ya ndoa ina-frustrate watu nyie. Asikwambie mtu.
Si yule wa kenya haha na akomeee 😂😂😂

Shida tukiwatongoza mnatuona keki 😒😑
 
Kwenye macho ya watu na jamii ndoa ni furaha,but ukiwa ndani ni zaidi ya jahanamu.
Isingekuwa watoto sijui hali ingekuwaje,angalau MTU ukiwaona wanakupa faraja kidogo.
Umeongea some point ndugu yangu, kama sio uzazi ndoa na mahusiano ni kitu hatari sana kwa maisha ya binadamu i'm sure.
 
Back
Top Bottom