Kila jambo ukilifanya kwa pupa ukakosea lazima likupe matokeo kinyume na mategemeo yako, vivyo hivyo kwa swala la ndoa.Kwenye macho ya watu na jamii ndoa ni furaha,but ukiwa ndani ni zaidi ya jahanamu.
Isingekuwa watoto sijui hali ingekuwaje,angalau MTU ukiwaona wanakupa faraja kidogo.
Hapana sio kiivyo! Ndoa tafuta yule mtu kama msela wako yaani mnaendana kabisa kutaniana, ule utani.Kwenye macho ya watu na jamii ndoa ni furaha,but ukiwa ndani ni zaidi ya jahanamu.
Isingekuwa watoto sijui hali ingekuwaje,angalau MTU ukiwaona wanakupa faraja kidogo.
Wala siyo kweli. Fomula ya ndoa hakuna aijuaye.Hapana sio kiivyo ! Ndoa tafuta yule mtu kama msela wako yaani mnaendana kabisa kutaniana ,ule utani.
Haswa wanawake unaolewa na mtu ili mradi tu wakati unamuacha msela wako kisa labda hata hela mwisho wa siku hauna uhuru kabisa kweny ndoa
Si yule wa kenya haha na akomeee πππ"Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lkn sasa nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu.
Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja.
My take:
Hamu ya ndoa ina-frustrate watu nyie. Asikwambie mtu.
HahahahaWe utakuja kusukumizwa gogo kwenye kinyero
Endelea
"Ndoa ni kwa ajili watu wenye akili timamu.."Kwenye macho ya watu na jamii ndoa ni furaha,but ukiwa ndani ni zaidi ya jahanamu.
Isingekuwa watoto sijui hali ingekuwaje,angalau MTU ukiwaona wanakupa faraja kidogo.
hahahahaHaya π
Na mbaya zaidi sasa,,hakuna binadamu yoyote yule duniani aliyepata kutokea au atakaekuja tokea mwenye utimamu wa akili!!!"Ndoa ni kwa ajili watu wenye akili timamu.."
Me ninazo.Na mbaya zaidi sasa,,hakuna binadamu yoyote yule duniani aliyepata kutokea au atakaekuja tokea mwenye utimamu wa akili!!!
Umeongea some point ndugu yangu, kama sio uzazi ndoa na mahusiano ni kitu hatari sana kwa maisha ya binadamu i'm sure.Kwenye macho ya watu na jamii ndoa ni furaha,but ukiwa ndani ni zaidi ya jahanamu.
Isingekuwa watoto sijui hali ingekuwaje,angalau MTU ukiwaona wanakupa faraja kidogo.