"Ili mradi unapumua" ndiyo kigezo kilichobakia

"Nikiwa na miaka 20 nilikuwa na vigezo zaidi ya kurasa mbili. Lkn sasa nimeondoa vigezo vyote kimebakia cha pumzi tu.

Kama unapumua karibu pm tuyajenge" aliandika mdada mmoja.

My take:
Hamu ya ndoa ina-frustrate watu nyie. Asikwambie mtu.
Una hoja, usikilizwe
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Analyse my wangu kuna ndoa njoo
"Ili mradi anapumua?" Anashida na pumzi yangu au? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

My wangu unataka akaniue, ubaki mjane? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ndoa ni raha sana, lakini kinacho fanya ndoa ionekane jehanam ni tamaa zetu binadamu.

Ukijikubali ulivyo ndoa raha sana, so vp mwenzio atajikubali na yeye? Hapo ndo tizi bwashee.

Watu wameishi kwa kuvumiliana, kila ndoa ina matatizo hata ya babu na baba yangu ilikuwa vivyo hivyo, muhimu ni usiri kutunziana madhaifu.

Dunia ya leo usiri hamna tena kila kitu hadharani mchana kweupe, ukijumlishia na tamaa ya pesa ndo basi kabisa.
 
Endeleeni kuchagua chagua miaka inatembea
 
Never give up!!!
Ndoa siyo umri.
Haina limitation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…