Ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabidi uwe na wanawake wangapi?

Ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabidi uwe na wanawake wangapi?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,081
Wanawake ni chombo muhimu sn kijamii na kiuchumi kwa mwanaume .Mwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr ukilinganisha na yule ambae yupo ktk mahusiano

Sasa basi hawa wanawake ni watu wa matatizo sn mara upo period.mara ana mimba. Mara anaumwa na visababu vengine visivyo na msing na anaweza kukuacha bila sababu ya msing yaan unashangaa tu gafla simu hapokei .sms hajibu na bila kusahau yale yaliozoea kuomba omba ela usipopa tu baai na tunda hupewi na hakuna mda mwanaume huwa anachanganyikiwa km mda anapoachwa na mpenzi wake solemba na hasa ukizingatia hana mwingine inabid aingie mtaan kusaka mwingine jambo ambalo linaweza kumgharimu mda pia

Sasa basi nachotaka kujua ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabid uwe na wanawake wangapi

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI
 
Sikiliza bwana mdogo. Idadi ya wanawake haipunguzi stress.
Kupungua kwa stress kunaanza na ww. Kwanza kuridhika na ww mwenyewe na maisha yako.

Ukitegemea kuridhishwa na mtu.. aise utafeli utafeli utafeli.

Kwanza be happy mwenyewe.. the rest havitakusumbua.
 
Furaha kutoka Kwa mwanamke inabidi kwanza utafute pesa
Sikiliza bwana mdogo. Idadi ya wanawake haipunguzi stress.
Kupungua kwa stress kunaanza na ww. Kwanza kuridhika na ww mwenyewe na maisha yako. Ukitegemea kuridhishwa na mtu.. aise utafeli utafeli utafeli.
Kwanza be happy mwenyewe.. the rest havitakusumbua.
 
Ukiangalia zaidi kinachokuumiza au kinachokupa stress utaendelea kuumia, ila ukiangalia funzo kutokana na maumivu utakuwa imara zaidi, hata uwe na wanawake 100 unaweza kuishia kwenye stress tu, ila ukijua akili yako inahitaji nn basi kuwekeza kwa wanawake wengi hakuondoi stress.
 
Wakiwa wengi sana angalau uwenae mmoja ama usiwe nae kabisaaa
 
Usitegemee furaha kutoka kwa mwanamke. Tegemea furaha kutoka kwenye juhud zako na mafanikio binafsi. Mwanamke awe nyongeza tu
Ok !! Hii yaweza kuwa big point lkn kumbuka waweza fanya kaz kwa juhud na ukafanikiwa lkn km upo alone huwez kuenjoy
 
Back
Top Bottom