Ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabidi uwe na wanawake wangapi?

Ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabidi uwe na wanawake wangapi?

Furaha kutoka Kwa mwanamke inabidi kwanza utafute pesa
Tafuta pesa kwa ajili ya maendeleo yako binafsi. Sio kwa ajili ya mwanamke.
Ukiwekeza pesa kwa mwamamke all the time utapata dissapointment
 
Tafuta mwanamke wakuitwa pesa mkuu,
Hakikisha tarakimu zinakuwa tisa au zaidi (100,000,000) hakika hautakuja kujiuliza idadi ya wanawake wengine unaowahitaji ili usiwe na stress

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom