Sikiliza bwana mdogo. Idadi ya wanawake haipunguzi stress.
Kupungua kwa stress kunaanza na ww. Kwanza kuridhika na ww mwenyewe na maisha yako. Ukitegemea kuridhishwa na mtu.. aise utafeli utafeli utafeli.
Kwanza be happy mwenyewe.. the rest havitakusumbua.
huu ni uongoMwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr
Scientifically proved usibishe ata WHO wanalijua hilohuu ni uongo
hahahaha WHO ndio takataka gani ?WHO wanalijua hilo
Usitegemee furaha kutoka kwa mwanamke. Tegemea furaha kutoka kwenye juhud zako na mafanikio binafsi. Mwanamke awe nyongeza tuFuraha kutoka Kwa mwanamke inabidi kwanza utafute pesa
Ata world health organizqtion hulijui aisee sasa apo umefikia ujinga kiwango cha standard gaugehahahaha WHO ndio takataka gani ?
una akili za kibashite wewe
Ok !! Hii yaweza kuwa big point lkn kumbuka waweza fanya kaz kwa juhud na ukafanikiwa lkn km upo alone huwez kuenjoyUsitegemee furaha kutoka kwa mwanamke. Tegemea furaha kutoka kwenye juhud zako na mafanikio binafsi. Mwanamke awe nyongeza tu
organizationorganizqtion