Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Aug 13, 2020 #41 LOVE U JF said: Furaha kutoka Kwa mwanamke inabidi kwanza utafute pesa Click to expand... Tafuta pesa kwa ajili ya maendeleo yako binafsi. Sio kwa ajili ya mwanamke. Ukiwekeza pesa kwa mwamamke all the time utapata dissapointment
LOVE U JF said: Furaha kutoka Kwa mwanamke inabidi kwanza utafute pesa Click to expand... Tafuta pesa kwa ajili ya maendeleo yako binafsi. Sio kwa ajili ya mwanamke. Ukiwekeza pesa kwa mwamamke all the time utapata dissapointment
Cofta Senior Member Joined Aug 6, 2017 Posts 158 Reaction score 632 Aug 13, 2020 #42 Tafuta mwanamke wakuitwa pesa mkuu, Hakikisha tarakimu zinakuwa tisa au zaidi (100,000,000) hakika hautakuja kujiuliza idadi ya wanawake wengine unaowahitaji ili usiwe na stress Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Tafuta mwanamke wakuitwa pesa mkuu, Hakikisha tarakimu zinakuwa tisa au zaidi (100,000,000) hakika hautakuja kujiuliza idadi ya wanawake wengine unaowahitaji ili usiwe na stress Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app