Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kweli kabisa, tena swali fikirishi.ni swali tu mkuu
Hii haina tofauti na kung'ang'ania uongozi wa chama kwa zaidi ya miaka 20!Na je ni Umri upi wa mwisho kwa ofisa wa polisi kuendelea kulitumikia jeshi hilo , anaruhusiwa hata akiwa mzee wa miaka 70 ? je uwezo wake wa kulitumikia jeshi utakuwa na weledi wowote ?
Atajua tu , polisi wanakesha humuIna maana uneambiwa humu IGP Sirro yumo Mkuu!? Kwann usifunge Safari uende Makao makuu ukahoji
Hawezi kutumbuliwa anatimiza na kuzilinda amri kutoka juu.
Hawezi kutumbuliwa anatimiza na kuzilinda amri kutoka juu.
Heshima imeongezeka
RPC Muroto kamanda Polisi Mkoa wa Dodoma ameshindwa kazi ya kulinda Usalama wa Raia na Viongozi wa Jiji la Dodoma.
RPC Muroto anastahili kupumzishwa(to be fired) kwa Uzembe kutokana na matukio makubwa yanayotokea Dodoma na hafanyi lolote.
Wakti Lissu anapigwa Risasi Muroto alikuwa RPC lakini mpaka leo miaka zaidi ya 2 hajakamata hata Kiroboto! Kifo Cha Sheikh Bura keep na zaidi ya mwaka hajakamata hata Kiroboto na Jana tena Mhe Mbowe kushambuliwa na Watu wasiojulikana Muroto anapiga sound tu. Ni saa ya kutumbuliwa akapumxike maana kazi imemshinda.
Kama ataachwa aendelee kuwa RPC Dodoma basi Watz wajue kuwa yeye ni SEHEMU ya genge la WASIOJULIKANA.
Naomba Rais Magufuli ampandishe cheo RPC Muroto awe IGP wa Chato Dona Kantri...[emoji1787][emoji1787]