Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Mungu ambariki afande muroto
Mungu hawezi kubariki Mnafiki Kama Muroto. Awe mwangalifu tu maana yasije yakamfika ya Pierre Kurunzinza wa Burundi! Hivi vimelea vya Udikteta havilipi chochote zaidi ya kujipatia hukumu mbele za Mungu!