Takukuru ipo kwa ajili ya rushwa ndogondogo za watu duniMara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo na wakawa wanafuatilia hatua kwa hatua utekekezaji wake.
Kitendo cha kuwastukiza wakati mradi umekwisha au upo katika utekekezaji ni kutowatendea haki kwani kuna vingi watadanganywa.
Kwa utendaji huu wa kustukizwa mara zote TAKUKURU itaonekana kibogoyo!
OverTakukuru ipo kwa ajili ya rushwa ndogondogo za watu duni
Kama ndivyo ilivyo bora ifutwe kwa sababu lengo ni kuzuia rushwa na si kuwezesha rushwa!Nani alikwambia TAKUKURU wao hawataki rushwa?
Bandarini unasikia wanataka kubinafisha sababu ya rushwa na wakati hapo kuna TISS na TAKUKURU kibao, TAKUKURU ipo ajili ya kukamata VEOs, WEOs, Nurse, Walimu n.k wengine ambao ni wanyonge haswa, wala rushwa wakubwa hawajui hata kama kuna TAKUKURUKama ndivyo ilivyo bora ifutwe kwa sababu lengo ni kuzuia rushwa na si kuwezesha rushwa!
"Wote hao wako fofofo au unawasingizia tu wapo sehemu hiyo?"Bandarini unasikia wanataka kubinafisha sababu ya rushwa na wakati hapo kuna TISS na TAKUKURU kibao, TAKUKURU ipo ajili ya kukamata VEOs, WEOs, Nurse, Walimu n.k wengine ambao ni wanyonge haswa, wala rushwa wakubwa hawajui hata kama kuna TAKUKURU
We unaishi wapi kwanza?"Wote hao wako fofofo au unawasingizia tu wapo sehemu hiyo?"
Tatizo sio ushirikishwaji tatizo ni.. Mfumo mbovu wa utawala na katiba ya kifalme!! NB: Meno ya takukuru ni kwaajil ya wananchi wa kawaida, waalim, madaktar!! Kwa wapiga madili makubwa na wanasiasa hawawez ingia humo!!Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo na wakawa wanafuatilia hatua kwa hatua utekekezaji wake.
Kitendo cha kuwastukiza wakati mradi umekwisha au upo katika utekekezaji ni kutowatendea haki kwani kuna vingi watadanganywa.
Kwa utendaji huu wa kustukizwa mara zote TAKUKURU itaonekana kibogoyo!
Bandarini unasikia wanataka kubinafisha sababu ya rushwa na wakati hapo kuna TISS na TAKUKURU kibao, TAKUKURU ipo ajili ya kukamata VEOs, WEOs, Nurse, Walimu n.k wengine ambao ni wanyonge haswa, wala rushwa wakubwa hawajui hata kama kuna TAKUKURU
Unalijua joka la kijani wee
Hilo limejizungusha kila mahala
[emoji1]
Ova
Inahusiana vipi na sentensi yangu au ndio kutangaza ujinga wako?We unaishi wapi kwanza?
Katiba mpya ndiyo suluhisho!Joka la kijani linatusukumia shimoni.
Katiba mpya ndiyo suluhisho!
Ishirikishwe mara ngapi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Kazi yao si KUPAMBANA NA RUSHWA TU....bali KUZUIA pia....
Umefanya UPOTOSHAJI mkubwa kusema kuwa "eti mpaka waziri atoe ruhusa....".
Hii ni taasisi yenye MAFUNGU MAKUBWA kwa kufanya kazi yao hiyo......
Serikali haina kosa...
Meno wamepewa.....
Sasa wafanyiwe nini tena ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
Mara ngapi umewasikia TAKUKURU wameanzisha uchunguzi kwa initiative yao wenyewe?Ishirikishwe mara ngapi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Kazi yao si KUPAMBANA NA RUSHWA TU....bali KUZUIA pia....
Umefanya UPOTOSHAJI mkubwa kusema kuwa "eti mpaka waziri atoe ruhusa....".
Hii ni taasisi yenye MAFUNGU MAKUBWA kwa kufanya kazi yao hiyo......
Serikali haina kosa...
Meno wamepewa.....
Sasa wafanyiwe nini tena ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]