Ili TAKUKURU iwe na meno ishirikishwe katika mipango ya idara na mashirika ya umma

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo na wakawa wanafuatilia hatua kwa hatua utekekezaji wake.

Kitendo cha kuwastukiza wakati mradi umekwisha au upo katika utekekezaji ni kutowatendea haki kwani kuna vingi watadanganywa.

Kwa utendaji huu wa kustukizwa mara zote TAKUKURU itaonekana kibogoyo!
 
Takukuru ipo kwa ajili ya rushwa ndogondogo za watu duni
 
Kama ndivyo ilivyo bora ifutwe kwa sababu lengo ni kuzuia rushwa na si kuwezesha rushwa!
Bandarini unasikia wanataka kubinafisha sababu ya rushwa na wakati hapo kuna TISS na TAKUKURU kibao, TAKUKURU ipo ajili ya kukamata VEOs, WEOs, Nurse, Walimu n.k wengine ambao ni wanyonge haswa, wala rushwa wakubwa hawajui hata kama kuna TAKUKURU
 
"Wote hao wako fofofo au unawasingizia tu wapo sehemu hiyo?"
 
Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo na wakawa wanafuatilia hatua kwa hatua utekekezaji wake.

Kitendo cha kuwastukiza wakati mradi umekwisha au upo katika utekekezaji ni kutowatendea haki kwani kuna vingi watadanganywa.

Kwa utendaji huu wa kustukizwa mara zote TAKUKURU itaonekana kibogoyo!
Tatizo sio ushirikishwaji tatizo ni.. Mfumo mbovu wa utawala na katiba ya kifalme!! NB: Meno ya takukuru ni kwaajil ya wananchi wa kawaida, waalim, madaktar!! Kwa wapiga madili makubwa na wanasiasa hawawez ingia humo!!
 
Hawawezi kufanya kitu chochote hao

Ova
 
Bandarini unasikia wanataka kubinafisha sababu ya rushwa na wakati hapo kuna TISS na TAKUKURU kibao, TAKUKURU ipo ajili ya kukamata VEOs, WEOs, Nurse, Walimu n.k wengine ambao ni wanyonge haswa, wala rushwa wakubwa hawajui hata kama kuna TAKUKURU

Inasikitisha sana
 
Unalijua joka la kijani wee

Hilo limejizungusha kila mahala

[emoji1]

Ova
 
Ishirikishwe mara ngapi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]

Kazi yao si KUPAMBANA NA RUSHWA TU....bali KUZUIA pia....

Umefanya UPOTOSHAJI mkubwa kusema kuwa "eti mpaka waziri atoe ruhusa....".

Hii ni taasisi yenye MAFUNGU MAKUBWA kwa kufanya kazi yao hiyo......

Serikali haina kosa...

Meno wamepewa.....

Sasa wafanyiwe nini tena ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Wamepewa kwa watendaji wa halmashauri huko kwingine mpaka wapewe muongozo.
 
Ishirikishwe mara ngapi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]

Kazi yao si KUPAMBANA NA RUSHWA TU....bali KUZUIA pia....

Umefanya UPOTOSHAJI mkubwa kusema kuwa "eti mpaka waziri atoe ruhusa....".

Hii ni taasisi yenye MAFUNGU MAKUBWA kwa kufanya kazi yao hiyo......

Serikali haina kosa...

Meno wamepewa.....

Sasa wafanyiwe nini tena ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
Mara ngapi umewasikia TAKUKURU wameanzisha uchunguzi kwa initiative yao wenyewe?
 
Back
Top Bottom