Ili tuanze kumfunga Mwarabu, tujifunze kutegemea zaidi Wakristo tukiwa tunashindana nao

Simba anawafunga kila siku au unataka wafungwe vip? Leo yanga si amewafunga Pia
 
Ngoja tushangilie nyie vaeni medali.

Na mkumbuke kuvishwa medali bila ubingwa ni sawa ka umevishwa diapers tu.
Si sawa na ID za chuo tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa hivyo timu za nchi zenye wakristo zingekuwa zinafunga sana Waarabu.
Mazembe umesau Mazembe kipindi cha utawala wake kwenye soka la afrika Kuna mwaarabu gani alikuwa anafungua mdomo mbele ya Mazembe

Na Siri kubwa ya nguvu ya Mazembe ni kutumie kanisa katolika kwenye mambo Yao ambalo Lipo kashombwe Lubumbashi


Toka hapo nenda Madrid Nako ni Ivo Ivo wanatumia kanisa catholic kushukuru pale wanapo chukuwa ubingwa
 
Mpira haram.... Hehehe subiri waje wenye dini yao ya kumuabudu mwarabu.
 
akili zako hata nikiziita matope ntakuwa nimekusifia
 
Ninachojuwa Mimi Jana Yanga imewakanda Waarabu kwao aggregate ni 2-2.

Ni kanuni ndio zimewapa ubingwa Waarabu.

Ushauri wangu kwako bangi hazikufai.
 
Acha chuki za kidini mkuu. Halafu simba hajawahi kupata ushindi uarabuni, Wape Yanga Maua yao ndio timu pekee afrika inayoweza kumpiga mwarabu huko huko Uarabuni
Ubingwa wa Africa wa Zameleki ulivuliwa na nani pale Misri hadi wakalisusa kombe la Ubingwa wa Misri uwanjani?
Kweli ukiwa Yanga lazima Networks fulani zikatike.

Unapoandika hivi unajionesha vipi kwa watu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…