Ili tuanze kumfunga Mwarabu, tujifunze kutegemea zaidi Wakristo tukiwa tunashindana nao

Ili tuanze kumfunga Mwarabu, tujifunze kutegemea zaidi Wakristo tukiwa tunashindana nao

Mkuu hongera sana kufafanua jambo muhimu kwa mifano hai kabisa.
Nakupa mfano mwingine mzuri.
Hapa Zanzibar linapokuja swala la kutetea maslahi ya Zanzibar basi wanawekwa mbele watu wa upinzani, ndio wanaopiga nyundo bila huruma wala bila uoga.
Na hata kabla ya serikali yenye muundo wa serikali ya umoja wa kitaifa walikuwa wakifanya kazi pamoja ikibidi dhidi ya bara.

Hili hasa ndio lililosababisha Aman Karume kutaka serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar ili wapinzani ndio wajibishane na bara huku CCM wakiunga mkono na kuchekea shavuni. Matokeo yake matakwa yote ya Zanzibar yameshinda na sasa panajengwa hadi maporini na ufisadi hamna mfano duniani kwa upigaji na bado hamna tatizo la fwedha.
Nashukuru kuona baadhi mmenielewa ninachozungumza. Sijakurupuka kusema hili, ni baada ya tafakuri ya muda mrefu sana.
 
Acha chuki za kidini mkuu. Halafu simba hajawahi kupata ushindi uarabuni, Wape Yanga Maua yao ndio timu pekee afrika inayoweza kumpiga mwarabu huko huko Uarabuni
Si kweli, Simba aliweza kumfunga na kumtoa nje bingwa mtetezi wa CAF club championship Zamalek mwaka 2003, Simba ilishinda kwa penalties, lakini ni ushindi uliomwondoa Mwarabu. Usiongopee watu ni timu nyingi mno zimezifunguka timu za arabuni kwao na kuwaondoa kabisa mashindanoni
 
Mleta mada ni katika wale wanaoitwa "Islamophobes".
Hajaeleweka tu mleta hoja lakini ana hoja ya msingi. Ngoja niweke wazi zaidi: Nchi za waarabu zinategemea sana majini!! Hualika majini yawasaidie!!. Sasa wakristo wana namna nzuri ya kufukuza majini kwa kutumia Jina la YESU KRISTO!! Majini ni aina ya pepo wachafu. Ni ukweli ulio wazi kuwa kama timu ikaamua kutumia Jina la Yesu, ikawashirikisha wakristo wanaoamini kuhusu nguvu za Jina la Yesu (maana kuna wakristo wa jina tu hata hawana uzoefu na uhalisia wa nguvu iliyomo kwenye Jina la Yesu), hayo majini yatakula kona fasta na ushindi kupatikana!! Kumbukeni kuwa kwanza timu za waarabu huwa hazina desturi ya kushinda ugenini, sana sana ni sare. Wanakusubiri uende kwao ambako majini/mapepo yao yameweka makazi ya kudumu!! Ni kweli kabisa kuwa wakristo na si vinginevyo ndio wenye mamlaka ya kutoa na kufukuza pepo/majini wachafu!! Bila shaka imeeleweka!!

CC FaizaFoxy.
 
Hili jambo niliwahi kuligusia siku za nyuma nikasema siku moja nitakuja kulielezea kwa ufafanuzi zaidi.

Nianze kwa kusema sina nia ya kueneza ubaguzi wa aina yoyote ila ninachoelezea ni uhalisia na ninachosema itatusaidia sana timu zetu kuanzia klabu hadi timu ya taifa kama litazingatiwa.

Tanzania tumebahatika kuwa na watu wa imani tofauti na makabila tofauti tunaoishi pamoja kwa amani. Tofauti na maeneo mengi duniani ambapo aina hii ya mchanganyiko imeleta migogoro, sisi tuna bahati ya kuishi pamoja vizuri. Pamoja na hayo kuna maeneo nadhani hatutajua kutumia hizi tofauti za imani kwa faida yetu.

Sina kumbukumbu kama Taifa Stars imewahi kuifunga timu ya Afrika Kaskazini. Simba imeonekana kuweza kupambana nao na mara kwa mara kupata ushindi hasa wakiwa wanacheza ndani ya Tanzania. Yanga pia wana rekodi za kupata ushindi mara kadhaa dhidi ya waarabu ingawa nadhani siyo mara nyingi kama Simba.

Ni hivi, dini ya Kiislamu inaaminika asili yake ni huko Uarabuni. Kwa hiyo wale wanaoifuata dini hii duniani kote wana heshima fulani wanazipa nchi za Kiarabu na Waarabu kiujumla.

Changamoto inakuja pale unapohitaji kushindana nao mfano katika michezo ingawa nitakuja hapo chini kutolea mfano tofauti ili nieleweke zaidi. Kwa sababu ya heshima kubwa Waislamu wanayowapa watu hawa, ni ngumu sana Muislamu wa kutoka sehemu nyingine aamini ana uwezo kabisa wa kushindana na Mwarabu katika nyanja kama ya michezo ambayo ukiacha maarifa na nguvu inahitaji pia kuamini kwa dhati kuwa Mungu anaweza kukusaidia wewe kupata ushindi na siyo mpinzani wako.

Ngoja niwape mfano mwingine. Huu ni mfano tu wa kufikirika ila unaweza kusaidia kufafanua point yangu. Tuchukulie Tanzania tumeingia mgogoro wa kidiplomasia na Vatican. Tukumbuke Vatican ndiyo makao makuu ya Kanisa Katoliki. Kama nchi inabidi tutumie hazina yetu ya Watanzania wanaoielewa vizuri Vatican hasa waumini wa Kikatoliki kutupa ushauri wa jinsi ya kukabiliana na mgogoro huo. Mwisho wa siku ili maslahi ya nchi yapate kulindwa inabidi kiongozi mkuu katika majadiliano hayo awe mtu asiye wa imani hiyo ili kuepuka hali yoyote ya unyonge dhidi yao.

Ningeweza kutoa mifano zaidi tofauti ila nadhani nitakuwa nimeeleweka.
Mkuu umebwia Kuber?
 
Hajaeleweka tu mleta hoja lakini ana hoja ya msingi. Ngoja niweke wazi zaidi: Nchi za waarabu zinategemea sana majini!! Hualika majini yawasaidie!!. Sasa wakristo wana namna nzuri ya kufukuza majini kwa kutumia Jina la YESU KRISTO!! Majini ni aina ya pepo wachafu. Ni ukweli ulio wazi kuwa kama timu ikaamua kutumia Jina la Yesu, ikawashirikisha wakristo wanaoamini kuhusu nguvu za Jina la Yesu (maana kuna wakristo wa jina tu hata hawana uzoefu na uhalisia wa nguvu iliyomo kwenye Jina la Yesu), hayo majini yatakula kona fasta na ushindi kupatikana!! Kumbukeni kuwa kwanza timu za waarabu huwa hazina desturi ya kushinda ugenini, sana sana ni sare. Wanakusubiri uende kwao ambako majini/mapepo yao yameweka makazi ya kudumu!! Ni kweli kabisa kuwa wakristo na si vinginevyo ndio wenye mamlaka ya kutoa na kufukuza pepo/majini wachafu!! Bila shaka imeeleweka!!

CC FaizaFoxy.

Mbona Yesu alibebwa na Popobawa?
 
Unastahili kusamehewa bure!!

Kwa dhambi ipi ??

Picha kutoka kwa wakristo wenzako hii , yesu amebebwa na hilo jitu au paka au popobawa anaenda kumjaribu

1685930138697.png
 
Mfano wako ni mzuri ila conclusion uliyotoa siyo sahihi. Nchi hii kuna watu ambao mzungu akiwa mbele yake anakosa kujiamini pamoja na kwamba anaweza kuwa na ujuzi au elimu nzuri tu. Hii inaweza kusababishwa na vingi lakini dini ya muhusika inaweza kuwa inachangia.

Hili kama taifa lazima tulizingatie katika mashauri yote ya nje kuhakikisha maslahi ya nchi yanalindwa na kuwekwa mbele. Najua wenye uwezo wa kutafakari mambo kwa upana wananielewa.
Hapa ndipo profesa Kabudi na Osollo wanapoingia kwenye vitabu vya historia.
 
Back
Top Bottom