Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina cha kuongezaMazembe umesau Mazembe kipindi cha utawala wake kwenye soka la afrika Kuna mwaarabu gani alikuwa anafungua mdomo mbele ya Mazembe
Na Siri kubwa ya nguvu ya Mazembe ni kutumie kanisa katolika kwenye mambo Yao ambalo Lipo kashombwe Lubumbashi
Toka hapo nenda Madrid Nako ni Ivo Ivo wanatumia kanisa catholic kushukuru pale wanapo chukuwa ubingwa
Kama una amini hivyo,basi tengeneza team ya Kanisa,itakua inachukua kila kombe lililo mbele yake,Mazembe umesau Mazembe kipindi cha utawala wake kwenye soka la afrika Kuna mwaarabu gani alikuwa anafungua mdomo mbele ya Mazembe
Na Siri kubwa ya nguvu ya Mazembe ni kutumie kanisa katolika kwenye mambo Yao ambalo Lipo kashombwe Lubumbashi
Toka hapo nenda Madrid Nako ni Ivo Ivo wanatumia kanisa catholic kushukuru pale wanapo chukuwa ubingwa
Mfano wako ni mzuri ila conclusion uliyotoa siyo sahihi. Nchi hii kuna watu ambao mzungu akiwa mbele yake anakosa kujiamini pamoja na kwamba anaweza kuwa na ujuzi au elimu nzuri tu. Hii inaweza kusababishwa na vingi lakini dini ya muhusika inaweza kuwa inachangia.Na tukifika kombe la dunia halafu tunakutana na Uingereza...timu nzima ya wakristo tuitimue...tulete waislam watupu??
Watanzania hampendi kabisa kushughulisha bongo zenu. Ni wapi niliposema Uislamu ni mbaya? Mimi nimejaribu kuangalia uhalisia wa haya mambo. Nasikilizaga kwa makini kauli zinazotolewaga na watu timu zetu zinapoendaga huko Uarabuni nikagundua moja ya shida tuliyonayo ni hii.Mleta mada ni katika wale wanaoitwa "Islamophobes".
Mfano wako ni mzuri ila conclusion uliyotoa siyo sahihi. Nchi hii kuna watu ambao mzungu akiwa mbele yake anakosa kujiamini pamoja na kwamba anaweza kuwa na ujuzi au elimu nzuri tu. Hii inaweza kusababishwa na vingi lakini dini ya muhusika inaweza kuwa inachangia.
Hili kama taifa lazima tulizingatie katika mashauri yote ya nje kuhakikisha maslahi ya nchi yanalindwa na kuwekwa mbele. Najua wenye uwezo wa kutafakari mambo kwa upana wananielewa.
Watanzania hampendi kabisa kushughulisha bongo zenu. Ni wapi niliposema Uislamu ni mbaya? Mimi nimejaribu kuangalia uhalisia wa haya mambo. Nasikilizaga kwa makini kauli zinazotolewaga na watu timu zetu zinapoendaga huko Uarabuni nikagundua moja ya shida tuliyonayo ni hii.
Na hata nimejaribu kutoa mfano tofauti wa Vatican kuonyesha mazingira yangekuwa ya upande mwingine, bado approach inatakiwa kuwa ile ile.
Simba alimtoa zamalek akiwa congo?Acha chuki za kidini mkuu. Halafu simba hajawahi kupata ushindi uarabuni, Wape Yanga Maua yao ndio timu pekee afrika inayoweza kumpiga mwarabu huko huko Uarabuni
Tunaweza tusitumie approach hii 100% kwa maana ya kuwabagua wachezaji wa kiislamu ila kutambua hili tatizo la kisaikolojia lipo tunapocheza na Waarabu kwa baadhi ya wachezaji wetu ni hatua moja mbele. Linaweza kutatulika kwa njia nyingine hasa kwa kutumia wanasaikolojia ila ni muhimu tulitambue hili tatizo lipo kwa kiasi fulani.Uko sahihi Kwa kiasi fulani hasa mambo kama mikataba na diplomasia...lakini sio Mpira
Mimi naaamini huna chuki na waislam..lakini approach yako haiwezekaniki....
Samahani huyo mazembe kavunja kanisa au? Mbona sasahivi dhooflhalMazembe umesau Mazembe kipindi cha utawala wake kwenye soka la afrika Kuna mwaarabu gani alikuwa anafungua mdomo mbele ya Mazembe
Na Siri kubwa ya nguvu ya Mazembe ni kutumie kanisa katolika kwenye mambo Yao ambalo Lipo kashombwe Lubumbashi
Toka hapo nenda Madrid Nako ni Ivo Ivo wanatumia kanisa catholic kushukuru pale wanapo chukuwa ubingwa
Tunaweza tusitumie approach hii 100% kwa maana ya kuwabagua wachezaji wa kiislamu ila kutambua hili tatizo la kisaikolojia lipo tunapocheza na Waarabu kwa baadhi ya wachezaji wetu ni hatua moja mbele. Linaweza kutatulika kwa njia nyingine hasa kwa kutumia wanasaikolojia ila ni muhimu tulitambue hili tatizo lipo kwa kiasi fulani.
Ni tatizo kubwa. Tunapojifunza au kufundishwa hizi tamaduni za nje tunapoteza kabisa kujiamini. Mara nyingi tunapocheza na Mwarabu ikiwemo jana ninachokionaga ni Mwarabu anaipambania sana PRIDE au FAHARI yake. Sisi tunadhani ni ishu ya mpira tu.Kuna thread nyingi Sana nimeweka humu kuhusu watu weupe...na Sisi watu weusi... mentally slavery waliyo tulisha na jinsi inavyo tuumiza...
Nyerere aliwahi kusema wapo waswahili upumbavu ukisemwa Kwa kiingereza wanaona jambo la maana Sana...
Sa100 kwenye hotuba yake moja aliongelea hiliMfano wako ni mzuri ila conclusion uliyotoa siyo sahihi. Nchi hii kuna watu ambao mzungu akiwa mbele yake anakosa kujiamini pamoja na kwamba anaweza kuwa na ujuzi au elimu nzuri tu. Hii inaweza kusababishwa na vingi lakini dini ya muhusika inaweza kuwa inachangia.
Mkuu hongera sana kufafanua jambo muhimu kwa mifano hai kabisa.Hili jambo niliwahi kuligusia siku za nyuma nikasema siku moja nitakuja kulielezea kwa ufafanuzi zaidi.
Nianze kwa kusema sina nia ya kueneza ubaguzi wa aina yoyote ila ninachoelezea ni uhalisia na ninachosema itatusaidia sana timu zetu kuanzia klabu hadi timu ya taifa kama litazingatiwa.
Tanzania tumebahatika kuwa na watu wa imani tofauti na makabila tofauti tunaoishi pamoja kwa amani. Tofauti na maeneo mengi duniani ambapo aina hii ya mchanganyiko imeleta migogoro, sisi tuna bahati ya kuishi pamoja vizuri. Pamoja na hayo kuna maeneo nadhani hatutajua kutumia hizi tofauti za imani kwa faida yetu.
Sina kumbukumbu kama Taifa Stars imewahi kuifunga timu ya Afrika Kaskazini. Simba imeonekana kuweza kupambana nao na mara kwa mara kupata ushindi hasa wakiwa wanacheza ndani ya Tanzania. Yanga pia wana rekodi za kupata ushindi mara kadhaa dhidi ya waarabu ingawa nadhani siyo mara nyingi kama Simba.
Ni hivi, dini ya Kiislamu inaaminika asili yake ni huko Uarabuni. Kwa hiyo wale wanaoifuata dini hii duniani kote wana heshima fulani wanazipa nchi za Kiarabu na Waarabu kiujumla.
Changamoto inakuja pale unapohitaji kushindana nao mfano katika michezo ingawa nitakuja hapo chini kutolea mfano tofauti ili nieleweke zaidi. Kwa sababu ya heshima kubwa Waislamu wanayowapa watu hawa, ni ngumu sana Muislamu wa kutoka sehemu nyingine aamini ana uwezo kabisa wa kushindana na Mwarabu katika nyanja kama ya michezo ambayo ukiacha maarifa na nguvu inahitaji pia kuamini kwa dhati kuwa Mungu anaweza kukusaidia wewe kupata ushindi na siyo mpinzani wako.
Ngoja niwape mfano mwingine. Huu ni mfano tu wa kufikirika ila unaweza kusaidia kufafanua point yangu. Tuchukulie Tanzania tumeingia mgogoro wa kidiplomasia na Vatican. Tukumbuke Vatican ndiyo makao makuu ya Kanisa Katoliki. Kama nchi inabidi tutumie hazina yetu ya Watanzania wanaoielewa vizuri Vatican hasa waumini wa Kikatoliki kutupa ushauri wa jinsi ya kukabiliana na mgogoro huo. Mwisho wa siku ili maslahi ya nchi yapate kulindwa inabidi kiongozi mkuu katika majadiliano hayo awe mtu asiye wa imani hiyo ili kuepuka hali yoyote ya unyonge dhidi yao.
Ningeweza kutoa mifano zaidi tofauti ila nadhani nitakuwa nimeeleweka.
Mkuu hongera sana kufafanua jambo muhimu kwa mifano hai kabisa.
Nakupa mfano mwingine mzuri.
Hapa Zanzibar linapokuja swala la kutetea maslahi ya Zanzibar basi wanawekwa mbele watu wa upinzani, ndio wanaopiga nyundo bila huruma wala bila uoga.
Na hata kabla ya serikali yenye muundo wa serikali ya umoja wa kitaifa walikuwa wakifanya kazi pamoja ikibidi dhidi ya bara.
Hili hasa ndio lililosababisha Aman Karume kutaka serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar ili wapinzani ndio wajibishane na bara huku CCM wakiunga mkono na kuchekea shavuni. Matokeo yake matakwa yote ya Zanzibar yameshinda na sasa panajengwa hadi maporini na ufisadi hamna mfano duniani kwa upigaji na bado hamna tatizo la fwedha.