Ili tuanze kumfunga Mwarabu, tujifunze kutegemea zaidi Wakristo tukiwa tunashindana nao

Nashukuru kuona baadhi mmenielewa ninachozungumza. Sijakurupuka kusema hili, ni baada ya tafakuri ya muda mrefu sana.
 
Acha chuki za kidini mkuu. Halafu simba hajawahi kupata ushindi uarabuni, Wape Yanga Maua yao ndio timu pekee afrika inayoweza kumpiga mwarabu huko huko Uarabuni
Si kweli, Simba aliweza kumfunga na kumtoa nje bingwa mtetezi wa CAF club championship Zamalek mwaka 2003, Simba ilishinda kwa penalties, lakini ni ushindi uliomwondoa Mwarabu. Usiongopee watu ni timu nyingi mno zimezifunguka timu za arabuni kwao na kuwaondoa kabisa mashindanoni
 
Mleta mada ni katika wale wanaoitwa "Islamophobes".
Hajaeleweka tu mleta hoja lakini ana hoja ya msingi. Ngoja niweke wazi zaidi: Nchi za waarabu zinategemea sana majini!! Hualika majini yawasaidie!!. Sasa wakristo wana namna nzuri ya kufukuza majini kwa kutumia Jina la YESU KRISTO!! Majini ni aina ya pepo wachafu. Ni ukweli ulio wazi kuwa kama timu ikaamua kutumia Jina la Yesu, ikawashirikisha wakristo wanaoamini kuhusu nguvu za Jina la Yesu (maana kuna wakristo wa jina tu hata hawana uzoefu na uhalisia wa nguvu iliyomo kwenye Jina la Yesu), hayo majini yatakula kona fasta na ushindi kupatikana!! Kumbukeni kuwa kwanza timu za waarabu huwa hazina desturi ya kushinda ugenini, sana sana ni sare. Wanakusubiri uende kwao ambako majini/mapepo yao yameweka makazi ya kudumu!! Ni kweli kabisa kuwa wakristo na si vinginevyo ndio wenye mamlaka ya kutoa na kufukuza pepo/majini wachafu!! Bila shaka imeeleweka!!

CC FaizaFoxy.
 
Mkuu umebwia Kuber?
 

Mbona Yesu alibebwa na Popobawa?
 
Hapa ndipo profesa Kabudi na Osollo wanapoingia kwenye vitabu vya historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…