Ili tuanze kumfunga Mwarabu, tujifunze kutegemea zaidi Wakristo tukiwa tunashindana nao

Unaweza kuta huyu ndio Jemedari Said yule Mchambuzi bora zaidi Tanzania au hii ni fake ID ya January Makamba
 
Kwa kweli nimesoma, lakini sijaelewa.
 
Hamjamuelewa tu ila ukweli nikwamba muislamu mfano akute jambazi au tapeli lakiarabu lazima asite au aghaili kabisa kumdhulu kisa nibwana wao kiimani anakua mnyonge
Na mkristo akikuta tapeli la kizungu inakuwaje?
 
ulichokiandika watu wengi hawajakielewa, umetoa elimu kubwa sana kwa wavivu wa kufikiria, hili uliloliwaza ndio jibu sahihi. siku moja kabla ya mechi ofisini tulikuwa tunabishana kuwa kwa mwarabu yanga hatoki, nikawaambia yanga anaenda kushinda kwa sababu wataingia uwanjani na k.ti. moto aisee nilishambuliwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…