Ili tusipate hasara, Serikali ibadilishe Uwanja wa Ndege Chato 75% uwe wa Kijeshi

Ndugai mkubwa wewe, Makongorosi chunya wewe..
we jamaa ni mpumbavu sana. yaani unasapoti Magufuli kwenda kujenga kiwanja cha ndege kwa mabilioni ya wavuja jasho huko porini? sasa zinarudije hizo hela zetu kwa uwekezaji huo wa kipuuzi? si angejenga air strip tu kama zilizopo sehemu mbalimbali nchini ingetosha? common sense tu inakataa kufanya hivyo hata kama alikuwa na mamlaka ya kujenga chochote kwa fedha za umma.
umeshawahi kumsikia mtu anamkosoa magufuli kwa ujenzi wa reli ya SGR? au kazi za tarura huko vijiji? hujiulizi kwa nini? Tumia akili basi kuandika vitu vya maana humu.
 
Mbona hujasema na hizo hotel za mwendazake zifanyiwe nini? Maanazinageuka magofu muda so mlefu.
 
We jamaa mpumbavu Sana, Kwa sababu hujaelewa nilichoandika hapo, na ndiyo sababu ya wewe kuwa mpumbavu

Nimekuuliza, ni wapi alipovunja katiba? Ni wapi alipokacha makubaliano ya nchi?

Narudia tena, Kwa sababu Taifa letu, kazi ya kipi kifanyike tuliamua jukumu Hilo atende mtu mmoja Kwa nafasi ya Uraisi, JPM Hana kosa,

Mataifa ya watu waliojielewa, kitu kinachotangulia ni mpango wa kitaifa, na sio maono ya Mtu yaani Raisi!!

Kwa kuwa Sisi hatuna mpango mkakati wa kitaifa, ni rahisi Sana hata Kwa Raisi aliyepo, kuamua tangu saa hii, ajenge kiwanja cha mpira hewani na hakuna wa kumzuia!!

Ukitaka tuondokane na mambo yasiyo ya maaana, shinikiza tangu sasa, tuwe na mpango kazi kama Taifa, mpango huo, uelekeze mambo ya kufanya, na Rais awe mtimiza hayo, na sikama ilivyo leo Kwamba kila Raisi akiingia anakuwa na maono yake,
 
Yaani uko kama mimi huu uwanja wapewe jeshi tuu,wafanyie mazoezi huko.
 
nasisitiza kuwa wewe ni idiot. common sense tu inakataa alichofanya magufuli kwenda kutumia mabilioni ya waTz kujenga airport huko kijiji kwao. sioni unachotetea hapa.
hujiulizi kwa nini hatuongelea SGR? hebu nenda kalalwe huko!
 
nasisitiza kuwa wewe ni idiot. common sense tu inakataa alichofanya magufuli kwenda kutumia mabilioni ya waTz kujenga airport huko kijiji kwao. sioni unachotetea hapa.
hujiulizi kwa nini hatuongelea SGR? hebu nenda kalalwe huko!
Unakichwa ngumu Sana wewe!!

Narudia mara ya mwisho, Leo kumetolewa Benz la 450m, jiulize ni Kwa nini??

Jibu ni Kwa sabb hakuna utaratibu kama nchi unaomsimami Rais, kwetu Tz, Raisi ni kila kitu, hazuiwi, lolote atakalo hufanya, tena Ni kisheria, Kwa sababu hakuna sheria inayompa mipaka, sasa utamlaumije??

Ukielimika utaelewa haya mambo, Kwa sasa Endelea Kula kitabu
 
Hivi mataga Rais SSH akianzisha mchakato wa kujenga international airport na miradi mingine ya kimkakati Kijijini kwao mtaambia nini watu??
 
Andiko hili limekufunua nguo.kuwa shuleni ulisomeaa ujinga! JPM unamlinganishaje na Nyerere kwa mfano ...hivi sijui Nani aliwaroga aisee!
Rais kazi yake ninkuweka mifumo ya Ustawi was nchi ktk nyaja zote ..tena ya kudumu ..Ni Nyerere tu na Mkapa walifanikiwa kti hili...Ukimlinganisha Jiwe na Mwinyi au JK labda !
 
Hata mtetee vipi maamuzi ya kujenga kiupendeleo Chato yalikuwa ya kijinga na kishamba ...Kuna watu Chato hawana maji salaama ya kunywa,wengine hawana. zahanati, madawati nk ...ule uwanja wa ndege unawasaidia Nini!
 
Hata kuwapa wananchi wautumie Ili usiote nyasi na pili kuepusha gharama za kuwalipa watu kufanya usafi waachiwe wakulima na wavuvi waanikie mazao yao Ili uwe msafi mda wote.
 
Kwa hiyo Kama hakuna Mpango wa Kitaiifa ndio ufanye maamuzi ya kijinga....kujenga uwanja wa ndege mkubwa kijijini na kulazimisha pori liwe na wanyama ...Kama alikuwa anapenda wanyamaa si angetengeneza zoo yake!
Ndio taatizo la kukabidhi madaraka makubwa kwa mshamba na Limbukeni...Ila wanapotokea Utopolo wanaoshobokea haya ...Kama wewe ndio kinacchoshangaza zaidi!
 
Hivi hawa makamanda wamerogwa, mbona wanaongea maajabu? Chuki ya Magufuli na ubibafsi wenu unawatokea objectivity mnasahau yaliyopo.

Viwanja vyote vya ndege duniani viko vijijini, hutavikuta maghorofani. Kule CHADEMA kwa kina Mbowe kuna international airports 4 karibukaribu - kuna KIA kilometa 45 kutoka Arusha Airport na kilometa 17 kutoka Moshi Airport. Ukienda kilometa 200 tu kuna International airports mbili Nairobi wajatu nearest airports Chato ni Bukoba kilometa 120, Mwanza kilometa 287, Entebbe 500, Lubumbashi 400.

Na airports zote dunia nzina ni za kijeshi; zikihitajika zinakuwa chinu ya kamandi ya jeshi. Hiyo ni sababu ingine kubwa kuwa jeshi lina access na hiyo sehemu nyeti na kubwa ya nchi yetu mpakani na nchi zisizotabirika,

Kuhusu wanyama kuhamishwa hili nalo si la ajabu, Zoo zote duniani zina wanyama wa kuletwa. Hifadhi maarufu ya Serengeti ina mbwamwitu kutoka Mkomazi, na Mkomazi wana faru kutoka Ngorongoro, Czechoslavakia na Kruger huku Saanane National Park wana manyani kutoka Kigoma na mbuni kutoka Seronera.
 
Aisee kwa hiyo unalinganisha kwa kina Mbowe ...Kuna Kia,Arusha na Nairobi!
Utopolo ...ni sawa na kusema ...mbona Fulani alikunya kitandani nami nakunya!
 
Ugeuzwe uwe uwanja wa mbio, tunaweza kuwa wenyeji wa mashindano ya olimpiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…