ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hasara ilishatokea sasa cha msingi ni ku minimize damage maana maintainance pia ni hasaraSasa ukifanywa wa kijeshi utazuiaje hasara? Jeshi hawana haja ya uwanja huo kwa mahitaji yao ya sasa la sivyo wangeisha omba fungu kwenye bajet kujenga