Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hizi ni hoja za kipumbafu sana, na yeyote anayeziunga mkono ana akili ndogo kama PIRITONI.
Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge, bado unataka utushawishi TUBARIKI MAKOSA yake kwa kuipa Chato hadhi ya Mkoa na kuifanya uwanja wa keahi?? You are not serious.
Mungu ametuepushia hiyo DHAHMA kwa kuchukua roho ya mtu mwongo, mwizi na katili na mbinafsi ili tujipange vizuri, kama tutaupa uwanja wa Chato hadhi unayoisema itakuwa ni KUFURU kwa Mungu wetu.
Ile Chato ni ya kubaki hivyo hivyo kama GBADOLITE ya Mobutu, ili vizazi vijavyo vije vitambue kuwa tuliwahi tawaliwa na mtu KICHAA kwa miaka 5 na siku 131