Hivi hawa makamanda wamerogwa, mbona wanaongea maajabu? Chuki ya Magufuli na ubibafsi wenu unawatokea objectivity mnasahau yaliyopo.
Viwanja vyote vya ndege duniani viko vijijini, hutavikuta maghorofani. Kule CHADEMA kwa kina Mbowe kuna international airports 4 karibukaribu - kuna KIA kilometa 45 kutoka Arusha Airport na kilometa 17 kutoka Moshi Airport. Ukienda kilometa 200 tu kuna International airports mbili Nairobi wajatu nearest airports Chato ni Bukoba kilometa 120, Mwanza kilometa 287, Entebbe 500, Lubumbashi 400.
Na airports zote dunia nzina ni za kijeshi; zikihitajika zinakuwa chinu ya kamandi ya jeshi. Hiyo ni sababu ingine kubwa kuwa jeshi lina access na hiyo sehemu nyeti na kubwa ya nchi yetu mpakani na nchi zisizotabirika,
Kuhusu wanyama kuhamishwa hili nalo si la ajabu, Zoo zote duniani zina wanyama wa kuletwa. Hifadhi maarufu ya Serengeti ina mbwamwitu kutoka Mkomazi, na Mkomazi wana faru kutoka Ngorongoro, Czechoslavakia na Kruger huku Saanane National Park wana manyani kutoka Kigoma na mbuni kutoka Seronera.