SoC04 Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikal ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali

Tanzania Tuitakayo competition threads

Kwekajr

New Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu,

Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo, nidhamu.k ziwe kama mada ili kupunguza mmomonyoko wa maadili. Serikali isiachie dini suala la ubinadamu sababu hata huko makanisani na msikitini sio salama 100% na ukizimgatia Serikali haina dini.

Hapa tutangeneza vijana wenye maadili ambao watakuwa welevu wenye nidhamu, utu hata vitendo viovu kama ushoga, ulawiti na usagaji vitapungua na kuondoka kabisa, hata ndoa kuvunjika na kupunguza watoto wa mtaani. Na vijana watafanya kaz kwa bidiii kwa sababu watakuwa welevu.
 
Upvote 5

Asante sana
Good story, appreciate
 
Back
Top Bottom