Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Mkuu usichukulie NEGATIVE pengine yeye alichukulia POSITIVE.King999 said:Shida yako ni grammar yangu au idea nlotaka ku present hapa?
"Grow up pls"
Don't take it personal.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usichukulie NEGATIVE pengine yeye alichukulia POSITIVE.King999 said:Shida yako ni grammar yangu au idea nlotaka ku present hapa?
"Grow up pls"
shida yangu ni grammar.shda yako ni grammar yangu au idea nlotaka ku present hapa
"Grow up pls"
😛 😛 😛 Hahahaa....!DiasporaUSA said:shida yangu ni grammar
Upo hapo?
Hapa kwenye kuzikimbia changamoto ndio shida ya wengi. Hivi unadhan ukizikimbia huku, kule unakoenda hakuna?
Mwanzo nilikua nikijipa tamaa sana ndio maana kila ninapofeli maumivu huwa makali sana ila sasa kila ninachofanya naeka kufeli coz nimeshafeli sana ila nakua sikati tamaa, iko day nitafika malengo
Shukrani kwa mada bomba sana mkuu E. C.
Kabisa, waungwana wanasema mshare mmoja uliolenga ni matokeo ya mishare 99 ilyokosa.Ule uwezo wa kunyanyuka baada ya kufeli, ndiyo mwanzo wa mafanikio.