Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta
Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu tamko hilo Kutoka Kwa Amiri Jeshi kamanda na Jiwe JPM (hayati) lilipotoka, hakukuwepo mgao wa umeme tena!
Ili sauti hiyo ipotee na watanzania waamini, ni lazima hao hao ambao walikuwa wakifumgulia mabwawa ya umeme enzi za utawala wao wapangue hoja za ukweli za hayati JPM Kwa maneno ya dhihaka, kejeli na uwongo mwingi ili kuhalarisha kile wanataka kufanya ili hali pia wakijua hayupo duniani na hawezi kusema tena
Wengi wa wa watanzania ni watu wa kusahau mapema saana! 2015 wakati JPM akiingia madarakani, mwaka huo kulikuwepo ukame Mkubwa sana wa mvua, lakini umeme nchini haukusumbua kama wanavyofanya sasa
Sasa kinachofanywa na wizara hiii Kwa sasa, ni propaganda za kuhalarisha madudu yao,
Propaganda hizi, zilianzia kwenye ujenzi wa Bwawa la JKNHP, na kiukweli Kwa propaganda zao, wamewaweza watanzania wajinga wale wafoji vyeti!
Mbwembe hizi zoote zinazofanywa Kwa press ama machapisho mengi mitandaoni kuhusu ukweli wa namna nchi ilivyo na inavyotakiwa iwe, kwa sababu hiyo, hizi ni njia tu za wao kutaka kuitafuna nchi
Miradi iliyokuwa ikijengwa bila tozo sielewi kama inaendelea ama la, Kwa sasa tuna tozo juu, lakini hadi Leo Bwawa linalotazamiwa kuzalisha umeme Mgw2000 iwapo linaendelea na mpango wa lini linakamilika ni lini haijulikani!
Nchi ya ajabu hii
Basi tumejua JPM alituvuruga, Basi nyinyi leteni unafuu wa maisha yetu Basi!
Mmekalia kumseme tuu, lakini mmefanya nini napo haijulikani!