GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Mkuu samahani kama nimekukwaza, ila namaanisha binafsi sijaelewa vizuri
Mkuu samahani kama nimekukwaza, binafsi sijaelewa kitu 1-7 ungefanunua kidogo itakuwa rahisi hata ujumbe ufike kwa wahusika.
Nikifafanua utakavyo Wewe nikipelekwa Kaburini kwa lazima utanisindikiza na kuyaanza Maisha yetu mapya na ya Kutukuka huko Mavumbini ( Udongoni ) kama waliotangulizwa na Yule mmoja aliyekoswakoswa na sasa amekita Kambi kwa Mla Mirungi Uhuru huku akiichungulia nchi yetu kwa mbali Mwili wake ukitamani Kuingia lakini Moyo wake unasita?