GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Mkuu samahani kama nimekukwaza, ila namaanisha binafsi sijaelewa vizuri
Mkuu samahani kama nimekukwaza, binafsi sijaelewa kitu 1-7 ungefanunua kidogo itakuwa rahisi hata ujumbe ufike kwa wahusika.
Mimacho mimate namjua Ila matege mibanio nisaidie kidogo mkuu
Kakobe ana tofauti gani na hao aliowaambia watubu ?Wangesikiliza ushauri wa kakobe na kutubu yasingewakuta haya.
Kwani raia wa Rwanda na Burundi wanasemaje kuhusu huyu agent wao hapa Tanganyika ?
Naona unatafuta kusifiwa na Wachaga.
Baelezee baelezeeNikifafanua utakavyo Wewe nikipelekwa Kaburini kwa lazima utanisindikiza na kuyaanza Maisha yetu mapya na ya Kutukuka huko Mavumbini ( Udongoni ) kama waliotangulizwa na Yule mmoja aliyekoswakoswa na sasa amekita Kambi kwa Mla Mirungi Uhuru huku akiichungulia nchi yetu kwa mbali Mwili wake ukitamani Kuingia lakini Moyo wake unasita?
Kakobe ana tofauti gani na hao aliowaambia watubu ?
Kwani kangi ni mchagga? Hivi wachagga walikubaka?walikuachia mimba? Jibu hayo kwanza then nitakupa ushauri nasaha
Sent using Jamii Forums mobile app
kakobe naye amekengeuka. Ameamua kuwa kobe na kuficha kichwa ili asione watu akidhani haonekani.Wangesikiliza ushauri wa kakobe na kutubu yasingewakuta haya.
Mimi nipo Nanjilinji mkuuMadayaspora wengi wa huko Marekani wakiongozwa na Rais wenu kutoka Texas au Dallas kama sijakosea aitwae Kazoora ni Watu ' Werevu ' sana, mbona Wewe ' Mdayaspora ' Mwenzao umekaa ' Kipopoma ' mno? Uko Marekani kweli au labda tupo wote tu hapa hapa Tandale Uzuri?
Mkuu huu ushauri Ni wa "kufungua" mwaka vyema.
Sio sawa popoma mkuuMaswali ya Kibangi bangi huwa siyataki na siyapendi pia sawa?
Mkuu fafanua basii me iyo tu nimetoka bila bilaHaaa haaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nr 1, ni shida [emoji23] nimesoma nimerudia ..watu mna maneno[emoji23][emoji23]