Ili usimuue mkeo ukajiweka matatizoni, fanya yafuatayo

wao wana campaign zao siku hizi wanasema"tafuta hela"

kama bro alikuwa na hela na bado huyu malaya akamzingua,hawa viumbe ni pasua kichwa.

huyu bikra unayemsema ndio hawa hawa watakutana na wenzie wamshauri ajaribu ya mwanaume mrefu mweusi jinsi ilivyo tamu[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2245400

Ni Bora upasuliwe kichwa na Mwanamke uliyemkuta Bikra kuliko hao wengine. Hata mbingu zitakutetea lakini jitu umeliokota limeshaharibiwa alafu linakuhangaisha hata jamii inakuona hamnazo.

Ndipo utaambiwa, Ganda la kuwa la Jana chungu kaona kivuno😀😀
 
Mkuu nafikiri ibakie Tu kwenye zile fasihi zako konki!
Kwenye mahaba hakuna formula!

Tutashangaa hapa siku wewe mwenyewe umeua! Huku ulituasa hayo hayo!

Mimi siwezi kuua Kwa sababu ya hivyo, Kwanza nashika amri za Mungu IL haimaanishi siwezi kuua.
Yapo mambo Ambayo yanaweza kunifanya Niue lakini kisa Mapenzi.

😀😀 Utakuwa unajiuliza mambo gani hayo, kila binadamu anavipaombele vyake, wengine mapenzi, wengine Pesa, wengine Mungu, wengine Watoto wao. Sasa utaamua Kati ya hivyo kipi hasa linaweza mfanya Taikon aitoe roho ya mtu bila kujali lolote
 
ILI USIMUUE MKEO AU MCHUMBA WAKO UKAJIWEKA MATATIZONI FANYA YAFUATAYO;

Anaandika, Robert HERIEL.

Kuua ni kosa kisheria pia ni dhambi kubwa kidini. Hivyo ili kujiepusha na kosa hilo hasa Kwa wanandoa tukiwemo wanaume basi Ushauri huu utafaa zaidi;

1. Usioe Mwanamke ambaye ni first love wako, au unayempenda Kwa dhati yote.

Ni ngumu sana Kwa mwanaume kuua mke ikiwa ni mzoefu wa wanawake, mara nyingi wanaume wasio na tabia ya polygamist ndio hujiua au kuua.
Mtu mwenye mtazamo wa kuoa mke zaidi ya mmoja ni nadra Sana kujiua au kuua mtu kisa mapenzi.

2. Usimhudumie Mwanamke Kwa kiwango kikubwa kupitiliza, usijitese kutafuta pesa kisa Mwanamke. Tafuta pesa Kwa ajili yako, au watoto wako.
Wanaume wanaotafuta pesa Kwa ajili ya wake au wanawake wanaowapenda ndio hujikuta katika hatari ya kuua.
Pesa inauma hakuna asiyejua,
Embu fikiria unajiingiza kwenye kazi hatari kisa umhudumie Mkeo alafu uje umkute amelala na Mwanaume mwingine hakika inauma.

Mimi huwaga silaumugi wala simhukumu mwanaume anayefanya matendo hayo, najua vile mtu anajisikia pale anaposalitiwa na mtu ambaye anamhudumia Kwa jasho na damu.

Ingawaje sipendekezi adhabu hizo, lakini ushauri wangu usimhudumie Mkeo kama malikia kiasi cha kujiumiza kwenye utafutaji.

Kuwa mbinafsi kadiri uwezavyo, jipende, na penda watoto wako. Wanaume wenye mtizamo huu ni nadra sana kujiua au kuua mtu kisa mapenzi.

3. Gawaneni majukumu ya kifamilia.

Mume na mke wote muwajibike kuitunza familia, Bro
- majukumu ya kimapato wote mchangie,
Wote mfanye kazi mzalishe mlete NYUMBANI, hakuna cha Mume wala mke, hakuna cha mwanaume wala mwanamke. Wote mkafanye kazi au vibarua mlee familia. Mmoja akinunua mboga mwingine anunue Chakula,

Bills kila mtu awajibike.
Kupunguza uchungu wa mmoja kuumia,

-. Majukumu ya NYUMBANI wote mfanye, iwe ni kupika au Kuosha vyombo au ikiwezekana kila mtu afue nguo zake.

Maana kuna watu wanasingizia kuwa wanafanya kazi za uzalishaji hivyo hawataki kufanya kazi za Nyumbani kisa wanatafuta pesa.

Na wengine wanafanya tuvikazi vya NYUMBANI kama Kuosha vyombo na Kupika wanachukulia ndio kigezo kikubwa kana kwamba ni kazi ngumu.

4. Usioe Baki kuwa Bachela.
Hakuna Raha Kama kuwa Bachela hasa Kwa Sisi wanaume, kuna watu watabisha lakini ubachela unaraha Kwa Asilimia 80% wakati ukiwa kwenye ndoa Raha yake ni 20%. Kwa Zama hizi.

Zaa watoto kisha kila mtu apite kushoto, muwekeane utaratibu wa kuwalea watoto.

Huduma za Unyumba zinanunulika tuu, tena Kwa gharama rahisi kabisa, kila mwezi ukitenga laki moja yako inatosha kabisa kupata Huduma hiyo tena Kwa wanawake tofauti tofauti wenye mvuto tofauti.

Kama utaona hiyo ya kuoa inasumbua, kukaa na mtu miaka nenda Rudi alafu anakupasua kichwa basi ni Kheri ufuate ushauri huo.

Kuna watu watasema ishu ya Maadili lakini Kwa kizazi cha sasa ambacho hakina maadili ni Bora ufanye hivyo kuliko ujitese na kuua watu au kujiua kisa upumbavu.

5. Tafuta mwanamke Bikra uoe.
Kama itakushinda kukaa Bachela, basi tafuta mwanamke Bikra uoe. Kama asemavyo Jokajeusi,

Itashangaza mtu ajiue Kwa mwanamke ambaye hakumkuta Bikra, au mwanamke ajiue Kwa mwanaume ambaye anama-ex Mia moja.

Huwezi muoa Mwanamke asiye na Bikra bila ku-format historia ya wapenzi wake wa zamani, elewa kuwa Mwanamke kumuoa sio sababu ya kukupenda, mara nyingi upendo wa Kwanza Kwa mwanamke ndio upendo halisi, mwanaume wa Kwanza ndio alimpenda Kwa dhati kuliko watakaofuatia.

Sasa assume wewe ni mtu wa tano kwake unafikiri unalipi la kumwambia, tayari anafanya kila kitu Kwa Reference za nyuma akikulinganisha wewe na wengine.

Mwisho Kwa watu wa Imani, Tunza watoto, wafundishe maadili hata Kama wewe ulikosea, muonyeshe namna ya kufanya chaguzi Kwa usahihi kwenye maisha,

Muathiri mtoto asichague wanaume au wanawake WA hovyo hiyo inawezakana kabisa, hata Kama wewe ulichagua mke/mume WA hovyo jitahidi umuathiri mtoto aone mabaya yaliyokupata, pandikiza chuki awachukie watu wapumbavu, makatili na wenye vichaa.

Hakikisha mtoto ajue Hana haki ya kuchagua Upande wa mauti au upande mbaya.

Hakikisha Ajue siku akichagua watu wasioeleweka hamtakuwa tena mtu na Mzazi wake.

Baadhi ya familia huwawekea watoto vikwazo Kwa kuwatenga, kutowapa Mali za Urithi ikiwa wataamua kufuata mambo ya hovyo.

Jambo hili linatuhusu zaidi wababa, Mwanaume lazima uwe mkali linapokuja suala la familia yako.

Sio toto linaamua kuwa Shoga au kufanya mambo ya kupuuzi unalichekea, zamani watoto walijua kabisa Baba zao watawaua ikiwa watajiingiza kwenye ujinga.

Baba lazima utambulike hivyo, usione shida kufukuza na kutoa adhabu Kali Kwa watoto wapuuzi.

Kuliko mtoto ajiue au auwe watoto wa wengine ni Kheri mzazi umdhibiti mapema Kabisa.

Siku zote Taikon ninaamini Matatizo ya watoto Kwa Asilimia 90% chanzo chake ni wazazi iwe Kwa uzembe au Kwa makusudi. Ndio maana wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka.

Wewe uliona wapi Nyoka akazaa jongoo.

Hizo kumi ni exceptional ambazo watoto huiga kwenye jamii. Ila 90% ni matokeo ya wazazi.

Kama mzazi ni Malaya mtoto ataachaje kuwa Malaya, hata ukienda kushtaki Kwa wazazi wake watakuwa wanakuchora tuu Ila kimsingi wao ndio tabia zao.

Mzazi mchoyo huzaa watoto wachoyo.

Mzazi mchawi huzaa watoto wachawi.

Mzazi mwizi huzaa watoto wezi.
Hivyo ndivyo ilivyo.

Vijana wa siku wanajifanya wamesoma wanakataa Jambo hili wanasema tabia ni ishu ya mtu mwenyewe hata hawajui maana ya tabia, ndio maana Dada yangu Faizafoxy anakuambia huko shuleni mmeenda kusomea ujinga.
Kabla hujaoa au hujaolewa lazima uchunguze ukoo unaoenda kuolewa/kuoa.

Matukio ya Dunia hujirudia Kwa kufuata Mkondo, Kama kwenye ukoo wao kuna ishu za mauaji usijesema miaka mingi imepita haijatokea Jambo kama Hilo, sio kweli inaweza kutokea kwako, inaitwa volcano iliyolala. Historia inakawaida ya kujirudia lakini lazima ijirudie kwenye Mkondo uleule. Matukio ya mafuriko hukumba Maeneo yaleyale hata Kama yasipotokea miaka elfu moja, matukio ya vimbunga halikadhalika, matetemeko.
Kila ukoo unatabia zake za Asili iwe za ndani au za wazi. Vijana wakiambiwa hili watakubishia,

Watu wanasema ndoa ni ngumu lakini hawaelewi ugumu wanauleta wao.
Muislam aoelewe na muislam halikadhalika Wakristo Kwa Wakiriso.

Mzungu Kwa Mzungu
Muafrika Kwa muafrika
Kabila Kwa kabila au Yale yanayokaribiana Mila. Sio mjifanye wajuaji ilhali hamna mjuacho.

Ndoa inahitaji Ufanano. Acha wauaji waoane wenyewe Kwa wenyewe,
Walevi Kwa walevi
Wazinzi Kwa wazinzi
Wema Kwa wema.

Hivyo ndio namna ya kuepukana na Matatizo na mabalaa.

Polisi na Serikali itoe hiyo Elimu, Dini na taasisi za mambo ya ndoa na kijinsia zitoe elimu hiyo.
Sio zitoe elimu za ajabuajabu ati watu wasibaguane, jamani kwenye maisha kuna mambo lazima watu wabaguane hasa ishu za ndoa na uzazi.

Huwezi weka pamoja Moto na maji,
Huwezi weka pamoja Mafuta na Maji
Huwezi weka pamoja Giza na Nuru,
Huwezi weka pamoja jamani eleweni hivyo.

Biblia inasema;
Danieli 2:43
Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.

Vijana mnashindwa akili hata na wanyama, uliona wapi Chui na Chita wakazaliana licha ya kufanana.
Au uliona wapi Njiwa wa porini na njiwa nyumbani wakazaliana?
Au uliona wapi Mbwa mwitu na mbwa WA nyumbani wakazaliana hata wakiwekwa pamoja, labda walazimishwe na binadamu.
Au pundamilia na punda wa nyumbani uliona wapi wakaingiliana?

Mtu kuwa binadamu haimaanishi anaweza kuwa Mke au mume wako, Mungu sio mjinga atuumbe tofauti tofauti, kila makundi yakae pamoja.

Poleni Wafiwa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
No. 2&4 ni Bora Sana.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Umeandika vyema sana ila vichwa maji mie hiwa nawashauri wafuaye mfumo wa mkuu Liverpool VPN maana yeye hapepesi maneno. Kwanini mkuu Liverpool VPN usije na uzi mwingne wa kukazia kile jamboo?
Mwanza watu wamekufa. Mara nasikia kunamtu kakakwa 🎤yake

Siku hizi Kwa vile watu hawauthamini upendo ni Kheri mtu awe bachela Kwa wahuni lakini.
Kwa wale wapenda kufuata Imani basi itawapasa wafuate sheria ya ufanano na kanuni za kiungu
 
Mzee hilo namba tatu mbona sio kabisa, unamuingiza mkeo kwenye jukumu la utafutaji kwa nguvu na kiasi sawa na chako, na mambo mengine hapo ya kifamilia myafanye sawa kwa sawa.

Masuala ya utafutaji, hili sio jukumu la msingi la mwanamke kabisa kwenye ndoa labda kama msaidizi tu, napo baada ya jukumu lake la msingi la kulea na kutunza familia kwa ukaribu zaidi kupungua. Vingenevyo ni unatafuta matatizo mengine mazito zaidi kwako, kwake na familia.
 
Kuna pointi kadhaa nakubaliana na wewe, ila hili la bikra nalo ni 50/50 kwa jamii ya sasa.

Kuna jamaa alienda kwao bush kuoa, akatafuta pisi yake yenye bikra akaileta town. Ilivofika town mambo yakabadilika jiji likamchanganya mtoto, akakuta mambo ambayo hajawahi kuyaona mwisho ndoa ikapalanganyika.

Ndoa naonaga haina formula, babu yangu alioa mbali kabisa na kwao, watu wenye mila na tamaduni tofauti kabisa lakini walidumu mpaka kifo wala sikuwahi shuhudia migogoro baina yao.
Na jirani yetu (age mate wa babu) nae alioa hapohapo kijijini, mtu wa kabila lake lakini wao japo ni wazee ila migogoro haiishi, mpaka kuna muda hawaongei kabisa.

Tunapunguza makali tu lakini hizi mambo wala hazitabiriki, sababu kubwa ni watu kubadilika badilika. Leo ni mnyoofu kesho kapinda ni kubahatisha tu.

Ushauri wa kutooa kwa mwanaume ni mzuri zaidi.
 
Fact kabisa mkuu ila ukiona mambo kama yanaanza kuwa hatari na unatafuta ufumbuzi na huuoni unaachana nalooo unakuwa kama nyati dume alotengwa na kundi
 
Mzee hilo namba tatu mbona sio kabisa, unamuingiza mkeo kwenye jukumu la utafutaji kwa nguvu na kiasi sawa na chako, na mambo mengine hapo ya kifamilia myafanye sawa kwa sawa.

Masuala ya utafutaji, hili sio jukumu la msingi la mwanamke kabisa kwenye ndoa labda kama msaidizi tu, napo baada ya jukumu lake la msingi la kulea na kutunza familia kwa ukaribu zaidi kupungua. Vingenevyo ni unatafuta matatizo mengine mazito zaidi kwako, kwake na familia.

Huo ni Ushauri Kwa kizazi hiki Mkuu.
Wakifanya hivi watanishukuru.

Hapa hatufuati tena kanuni za Asili tena Mkuu hivyo kanuni yoyote itakayotumika kinyume na kanuni ya Asili italeta madhara.

Wanawake wenyewe ndio wametaka mambo haya. Hivyo Acha iwe hivi tuu
 
Kuna pointi kadhaa nakubaliana na wewe, ila hili la bikra nalo ni 50/50 kwa jamii ya sasa.

Kuna jamaa alienda kwao bush kuoa, akatafuta pisi yake yenye bikra akaileta town. Ilivofika town mambo yakabadilika jiji likamchanganya mtoto, akakuta mambo ambayo hajawahi kuyaona mwisho ndoa ikapalanganyika.

Ndoa naonaga haina formula, babu yangu alioa mbali kabisa na kwao, watu wenye mila na tamaduni tofauti kabisa lakini walidumu mpaka kifo wala sikuwahi shuhudia migogoro baina yao.
Na jirani yetu (age mate wa babu) nae alioa hapohapo kijijini, mtu wa kabila lake lakini wao japo ni wazee ila migogoro haiishi, mpaka kuna muda hawaongei kabisa.

Tunapunguza makali tu lakini hizi mambo wala hazitabiriki, sababu kubwa ni watu kubadilika badilika. Leo ni mnyoofu kesho kapinda ni kubahatisha tu.

Ushauri wa kutooa kwa mwanaume ni mzuri zaidi.

Ndoa ilikuwa inafomula Kwa kufuata kanuni za Asili lakini Kwa sasa kila kitu hakina formula kwani watu wanataka kuvunja kanuni zilizowekwa.
Mwanamke anatakiwa akae nyumbani alee familia lakini sasa hivi huoni wanawake ni waalimu, madaktari, wahasibu, madereva n.k.
Kama wanafanya kazi ilhali hawapaswi kuwa watafutaji kimsingi washavunja nature.

Matokeo yake ni hivyo kuna uhaba WA Ajira. Dharau Kwa sababu wa kipato, ndoa kuvunjika n.k.

Ushauri nilioutoa ni WA Karne ya 21+ hazizingatii hizo kanuni za kizamani ambazo ndio Bora.

Na huwezi tumia Mfumo wa zamani kwa mtu anayetumia mfumo wa kisasa
 
Ndoa inamambo mengi sana, kwa hiyo hakuna maelekezo ya moja kwa moja ya jinsi ya kuishi kwenye ndoa. Mfano unaweza ukawa umetoka zako job umechoka umefika kwako umeingia mpaka chumbani, unamsalimia mkeo anaitika fresh tu, ile unavua viatu analiazisha zogo kwa nini umeingia na viatu mpaka chumbani...mzozo unaanza. Kuna mambo mengi sana kwenye ndoa , tamaa ndogo ndogo zipo zinazovuruga ndoa n.k.
 
Maelekezo makuu ya ndoa;
1. Ufanano
2. Upendo ufuatie
3. Wajibu na majukumu
 
Maelekezo makuu ya ndoa;
1. Ufanano
2. Upendo ufuatie
3. Wajibu na majukumu
Mkuu umeoa? kwa ufahamu wangu, mpaka unatangaza ndoa ni kwamba kila mmoja ameona mwenza wake amekidhi vigezo. Sisi binadamu ni dhaifu mara nyingi tunatoka nje ya mstari kwenye maisha ya mahusiano hata ya urafiki. mfano kugombana kwenye ndoa ni kawaida tu ila uwezo wa kujishusha na kujizuia kupanda hasira zaidi huzuia madhara yanayoweza kujitokeza kwenye ugomvi. Ndoa isiyo na kelele hata kidogo haina mvuto lazima mpeane changamoto kidogo ili akili zikae sawa.
 
4. Usioe Baki kuwa Bachela.
Hakuna Raha Kama kuwa Bachela hasa Kwa Sisi wanaume, kuna watu watabisha lakini ubachela unaraha Kwa Asilimia 80% wakati ukiwa kwenye ndoa Raha yake ni 20%. Kwa Zama hizi.

Huduma za Unyumba zinanunulika tuu, tena Kwa gharama rahisi kabisa, kila mwezi ukitenga laki moja yako inatosha kabisa kupata Huduma hiyo tena Kwa wanawake tofauti tofauti wenye mvuto tofauti.

NAKUBALINA NA HII POINTI

TENA LAKI MOJA KWA MWEZI NAONA NYINGI.
KWA WAKAZI WA TEGETA, KUNA SEHEMU INAITWA COMFORT GUEST HOUSE (INATAZAMANA NA RABINSIA HOSPITAL).
KUNA WATOTO WAZURI PALE KWA 10,000., CHUMBA NA YEYE.
BAADA YA HAPO HAKUNA KUPIGIANA SIMU, SIJUI MAMA MGONJWA, MTOTO KARUDISHWA ADA.....
Hili tangazo ntalizingatia
 
Mkuu umeoa? kwa ufahamu wangu, mpaka unatangaza ndoa ni kwamba kila mmoja ameona mwenza wake amekidhi vigezo. Sisi binadamu ni dhaifu mara nyingi tunatoka nje ya mstari kwenye maisha ya mahusiano hata ya urafiki. mfano kugombana kwenye ndoa ni kawaida tu ila uwezo wa kujishusha na kujizuia kupanda hasira zaidi huzuia madhara yanayoweza kujitokeza kwenye ugomvi. Ndoa isiyo na kelele hata kidogo haina mvuto lazima mpeane changamoto kidogo ili akili zikae sawa.

Madhara huwa makubwa zaidi mkiwa hamna Chemistry sijui kama unanielewa nikisemacho, huwezi weka maji na Mafuta pamoja kwenye moto
 
[emoji3][emoji3]

Mimi ni Mkristo OG sio ule Ukristo ulioeditiwa.
Kristo alikuwa Myahudi na dini yake ni myahudi Ila wafuasi wake wanaona shida kufuata amri na sheria za kiyahudi. Inashangaza.

Kristo hajawahi kubadili dini popote pale
Umepotea sana ukidhani Ukristo ni dini. Ukristo sio dini bro. Yesu Kristo hakuleta dini duniani, alileta wokovu. Alikuja kutafuta na kuokoa waliopotea. Neno "Wakristo" lilitamkwa kwa mara ya kwanza pale Antiokia (Mdo 11:26) baada ya jamii ya Antiokia kuwaona watu wanaomfanana Kristo (katika namna ya kuishi).

Ukristo simply ni kumfanana Kristo. Wayahudi hadi muda huu hawana wokovu kwa kuwa hata hawana taarifa kuwa Yesu Kristo (Masihi) keshakuja duniani na kufa na kufufuka kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa wanadamu. Adui namba moja wa huduma wa Yesu Kristo duniani walikuwa ni watu wa dini ya Kiyahudi yaani Waandishi na Mafarisayo.

Ndio waliomshitaki kwa Pilato na kupiga kelele "asulubiwe! Asulubiwe" kwa hakika dini zitapeleka watu motoni kama hawatokubali kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao! ISHU NI KUPOKEA WOKOVU, SIO DINI.

YESU ni BWANA na MWOKOZI.
 
Back
Top Bottom