Ili usimuue mkeo ukajiweka matatizoni, fanya yafuatayo

Inahitaji mtu mwenye akili iliyobarehe kufanya hayo..

Wengi wao wanashindwa kuhimili hisia na wakifanya hayo wanaweza watesa wanawake wao..

Mwisho mwanamke wa kukubali hayo mazingira huwezi mkuta mkoani labda huko kwenu Dar.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwenye sehemu kubwa ya nasaha zako. Tofauti ni kwamba mapenzi hutokea na hayapangwi. Wakati mwingine moyo unakua mmbea au kimbelembele badala ya kusukuma damu unaleta lovey dovey dovey hapo sasa changamoto ndipo inapoanza. Kumpenda mwanamke ndiyo asili ya kila mwanaume, tena wakati mwingine upendo wa dhati. Sasa pale unapoumizwa na unaye mpenda kama siyo mzoefu unaweza ukasababisha madhara makubwa kwako na kwa wengine.

Maumivu ya mapenzi huwezi kumeza panadol ukaingia road, lazima utulie, na mbaya zaidi uchapiwe na pimbi unayemjua au unaye dhani ni mtu wa lower class au ambaye anaongea ongea shobo kwa wadau. Kimsingi, unapaswa kuwa na emotional intelligence (born or acquired) kabla ya kuingia kwenye mapenzi. Wanawake wengi hawajui au wanadharau athari za mapenzi zitokanazo na mienendo yao mibovu. Pengina anaweza asiliwe, ila kukaa kaa pamoja na machawa na kuwa na marafiki wa kiume wangesengese inaweza ikaleta madhara makubwa sana ikiwa ana date na mtu serious.
 
Sawasawa 👍 👍
 

Ameeeen nakazia namba 4 hapo
 
Hivi rabinsia ndio kairuki?
 
mama D una lipi la kusema?


Nimevaa kiatu cha wazazi wa Saidi hakinitoshi😥😥😥😥

Kitendo cha kumuua mtu yoyote bila kujali ni mke au mume ni swala linalohusika na moyo wa mtu na mahusiano yake na ile nguvu ya Mungu iliyo ndani yake.

Ukimjua Mungu na yeye akakujua wewe kwa imani yako, ukazijua nguvu zake na kuzifuata amri na sheria zake huwezi kuua. Ndio maana tunafundishwa kwamba ukimpata Mungu umepata yote

Ukitafuta partner Mungu atakutangulia, na ukapata partner asiyekufaa yeye atakushindia kwa kumuondoa kwenye maisha yako kwaamani

Hivi vifo vya hawa watu vimeniuma, wanaume mke akikusumbua mwache kwa amani.
Kwenye mahusiano usihesabu ni vingapi umeamfanyia mwenzio na bado akakutenda ila hesabu ni vingapi amekufanyia wewe vinavyokufanya ukose amani. Okoa moyo wako na uzima wako, uhai haununuliwi
 
Mimi msimamo wangu uko pale pale.

1. Chakata mbususu zaidi ya 50
2. Chuja katika hizo chagua 5 bora
3. Katika hao, oa yule anaekupenda kuliko wote
4. Waliobaki wabakishe kama michepuko for future use.
 
Cha umuhimu zaidi ukioa, ukimpigia simu mke wako asipopokea, mwisho ni missed calls tatu

 
Usioe Baki kuwa Bachela

Hakuna Raha Kama kuwa Bachela hasa Kwa Sisi wanaume, kuna watu watabisha lakini ubachela unaraha Kwa Asilimia 80% wakati ukiwa kwenye ndoa Raha yake ni 20%. Kwa Zama hizi.

Zaa watoto kisha kila mtu apite kushoto, muwekeane utaratibu wa kuwalea watoto.



Hii ndo naitekeleza sasa.

Nafasi ya ubachela uliyonayo usiipoteze utatukumbuka
 
Nijuavyo mimi kila mtu anaweza kutekeleza ukatili ni mazingira tu mtu anayokutana nayo, usimcheke mtu kwa kuwa kaua kajiua kajeruhi n.k ni mazingira aliyokutana nayo tu

Ndio maana kuna mtu ukisikia kafanya tukio la kikatili unakataa kabisa unauliza hivi kweli ni huyu huyu tunayemjua au ni mwingine?

Kuna watu wanavumilia madhila mengi kwa muda mrefu mpaka anafikia kuamini kwamba hana namna nyingine ya kuyaepuka
 
Sasa kwa taarifa yako hakuna ndoa zenye matatizo kama hizo za nyie mnaojifanya wachamungu
 
Umeongea vingi pointi kabisa. Mwanaume ukioa ukiwa na uzoefu na wanawake kabla haitakusumbua ukiingia kwenye ndoa. Ksbb tayari unakuwa ulishawahi kupenda. Pia kama ulivyosema usioe unaempenda sana.

Ila tunafautiana hapo kwenye bikra,unadhani mwanamke ukimbikiri hawezi kuzengewa na mabaharia?. Hata boda boda anaembeba anaweza akamuonja. Tena hawa ndio wabaya sana akionja nyingine,inaweza ikamkolea. Kingine sidhani kwamba ksbb ya kukutunuku usichana wake kwamba ndio wewe anakupenda,sio kweli. Unaweza kuta umepewa kuringana na mazingira tu mnapoishi,labda hata sehemu za kazi n.k. Lakini kiuhalisia sio kwamba unaweza ukawa ndio amekupenda hatampenda mwingine zaidi yako.

Kutooa kabisa hicho kitu kiko wazi kabisa mara zote nawaambia hawa vijana wanaokuja kama wana uwezo watengeneze mazingira ya kutooa mazima. Wataishi kwa furaha sana.

Kuhusu kuua mke ukimfumania hiyo kwangu haiwezi kunitokea. Vinginevyo atakuwa tu amejisafishia njia ya kuondoka tu,kuachana.
 
Lakini si umeshauri kila mtu awe mbinafsi kwa kadiri anavyotaka?? Yeye kwa upande wake ndio alivyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…