Ili usimuue mkeo ukajiweka matatizoni, fanya yafuatayo

Tubu na kuiamini Injili.
 
[emoji3][emoji3]

Mimi ni Mkristo OG sio ule Ukristo ulioeditiwa.
Kristo alikuwa Myahudi na dini yake ni myahudi Ila wafuasi wake wanaona shida kufuata amri na sheria za kiyahudi. Inashangaza.

Kristo hajawahi kubadili dini popote pale
Hilo ni tatizo lako.

Fikra zako na mambo yako tumekuachia mwenyewe
 
Hapa lazima ujambe sana usiku
 
Celibacy ni option nzuri.

Hasa ukiishi kwa misingi ya MUNGU.
 
Wasiooa wanakwepa majukumu.
 
Hakuna raha yoyote, nyinyi mnakwepa majukumu ya kuhudumia familia.
 

Mambo unayoleta ni kama kusoma adisi za zamani! Kwaiyo ukioa mwanamke bikiri hawezi kuchepuka? Kila mtu aishi maisha yake na kwa sisi wanaume hata tupewe mwanamke malaika kuchepuka hakuepukiki.... kwa sisi tulio owa tuwapende nakuwaheshimu wake zetu!!!

Usimuhudumie mkeo kisa utamuuwa? Iyo roho yakuuwa ni ujinga mwengine nao.... pesa ni nini kwako mkuu?

Watoto kuwa na tabia mbaya! Hawa tujitaidi kuwaombea na kuwapa malezi bora lakini zaidi nikuwapa elimu ya dunia mambo yamebadilika sana..... lakini ukisema mtoto anarisi tabia hii nakataa maana watoto ninao wafahamu walevi wapo na familia zao ni smart sana.... huu nao ni ujinga mwengine wa mtot!!

Ipo ivi mfundishe nwanao tangu akiwa mdogo kuwa kila kitu Ni Sawa na pombe ni chakula akizidisha atavimbiwa Kwaiyo kila kitu ni kiasi....

Maswala yakuuwana ni mazito maana wanao uuwana kisa mapenzi ni vijana na wanaacha wazazi wao wakiwa hai sasa sijui hii tabia wanakuwa wamerithi wapi??? Tuwaombee watoto zetu Na sisi wazazi tuendelee kushika majukumu yetu kwa upendo
 

Kila kitu kinaenda Kwa historia ukilijua Hilo litakusaidia Maeneo mengi kwenye maisha
 
Mauaji ni suala la Afya ya akili. Ukitaka usiue zingatia afya yako ya akili mengine ni insperational speaking tu.
 
We jamaa una CHILISOSI Ghetto??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mengi yaliyoandikwa hapa ni ushauri wa hovyo
 
Nashangaa inavyosisitizwa kuoa mwanamke bikira kana kwamba hawa ni malaika na kwamba hawawezi kuchepuka. Sidhani.

Tunaishi na wanawake wengi walioolewa bikira tena, ila sahizi wakiwa kwenye ndoa wanamegwa.

Kuna makahaba yaliyoolewa , wametulia kwenye ndoa zao hadi waliofanya nao ukahaba hawaamini.

Hizi mambo hazina formula kama za hisabati.
 
Hili somo haliingii akilini maana mapenzi kila mtu na mawazo na akili zake zinavyo mtuma mi nshafumania wife analiwa sikuongea kitu niliamua kuondoka mpaka leo sitaki kumuona na watoto nilishachukua wala sikumwambia kosa lake yani kimya mpaka leo.
Duh !...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…