Salaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu hapa chini.
1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person