Ili utoboe fanya yafuatayo

Ili utoboe fanya yafuatayo

Salaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu hapa chini.
1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person
Ili utoboe kohalamu ufanyeje?
 
Bila rushwa mtaandika sana jitihada za kutoboa, TZ kutoboa ngumu nila rushwa
Baada ya kuigusa serikali but kama ni shughuli zako binafsi rushwa as shamba, duka la madela rushwa utatoa siku gami labda (au siku ya kwenda kukata leseni?)
 
Salaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu hapa chini.
1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person
Nakazia.
 
Baada ya kuigusa serikali but kama ni shughuli zako binafsi rushwa as shamba, duka la madela rushwa utatoa siku gami labda (au siku ya kwenda kukata leseni?)

Madela yanatajirisha??

Hao wanaowapa ushauri wa kutoboa wao mbona hawajatoboa kwa kufata shauri zao.

Nchi yetu huwezi kutoboa bila UMAFIA tutadanganywa sana na watu

Utapata pesa ya kula na kujenga 3bedrooms na IST umemaliza
 
Kulima nyanya, vitunguu unatoa rushwa kwa nani? mfano tu.

Sijakataaa kabisa, Nyanya na vitunguu havimfanyi mtu akatoboa kaka nchini kwetu.

Mtu ataishi maisha ya kawaida ambayo si tajiri wala masikini.
 
Hiyo ni general misconception tu, sio matajiri wote wapo hivyo.

Kwa Tanzania ni wote, na ndio maana walikua wanampiga vita sana JPM na utawala wake

Juzi Azam amekamatwa anauza sumu watu wanamtetea

Hivi umefundisha watu Chemistry kuanzia Form 1 hadi 6 na wengine wana Ph.D. za Chemistry kwamba hawajui madhara ya Benzine

Haha, Azam anaendelea kuuza sumu
 
Ndio nakuambia kuwa ni general misconception. Bakhresa ameajiri watu kusaidia biashara zake na lengo lake ni zuri tu ila walioajiriwa ndio wanamuangusha kwa kuleta udanganyifu.
 
Madela yanatajirisha??

Hao wanaowapa ushauri wa kutoboa wao mbona hawajatoboa kwa kufata shauri zao.

Nchi yetu huwezi kutoboa bila UMAFIA tutadanganywa sana na watu

Utapata pesa ya kula na kujenga 3bedrooms na IST umemaliza
Zaidi ya hapo lazima uwe fisadi la ccm
 
Ndio nakuambia kuwa ni general misconception. Bakhresa ameajiri watu kusaidia biashara zake na lengo lake ni zuri tu ila walioajiriwa ndio wanamuangusha kwa kuleta udanganyifu.
Bwana Extramiles kama wewe ni mtafutaji wa pesa ungekuwa ushatuelewa tunachoongea. Ila naona bado wewe ni mwanafunzi wa chuo bado au unaishi kwa Baba yako.

Tutaelewana huko mbele.
 
Kwamba Bakhresa hajui hajui mchanganyiko katika bidhaa zake bali wafanyakazi wake ndio wanajua? We jamaa unatuonaje lakini?

Back
Top Bottom