Ili utoboe fanya yafuatayo

Ili utoboe fanya yafuatayo

Salaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu hapa chini.
1. Ili utoboe haraka kwa njia za haki, simamia mwenyewe kazi yako
2. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na story ya kumwachia dhamana kubwa mtu mwingine
3. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na partinership za kibongo zisizo na tija
4. Ili utoboe haraka kwa njia za haki achana na kitu kinaitwa undugu hasa kwa sisi wabantu
5. Ili utoboe haraka kwa njia za haki usimpe usaidizi wa kazi total jobless person
Yote hayo ni kwa sababu ya umaskini. The absolute enemy ni umaskini. Wala marafiki na ndugu zako hawana shida.
You must know your enemy.
Toka kwenye hayo mawazo.
 
Huwezi kutobia bila kuwafanyisha watu kazi. Huwezi kutoboa bila kuwatumikisha watu. Hiyo ni sayansi na ipo kwenye nadharia za kiuchumi pia.
 
Huwezi kutobia bila kuwafanyisha watu kazi. Huwezi kutoboa bila kuwatumikisha watu. Hiyo ni sayansi na ipo kwenye nadharia za kiuchumi pia.
Nalijua sana mkuu.
 
Unafanya biashara ndugu wanakopa hawarejeshi , unakutana nae anakenua meno tu , undugu kwenye biashara ni sumu.
 
Back
Top Bottom