Ili uwe na nguvu nchini unahitaji hivi vitu vitatu

Ili uwe na nguvu nchini unahitaji hivi vitu vitatu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kwahiyo pambana sana kijana, hili ni somonhasa kwa vijana lazima uwe na nguvu tatu muhimu uweze kuheshimika

1. Nguvu ya kiserikali, lazma uwe karibu na serikali na watu wake wa juu ikiwemo Rais, waziri, rcs , wabunge, igp, mabeyo,

2. Nguvu ya uchawi - maadui ni wengi unahitaji ulinzi wa kichawi na WA kiserikali Ili uweze pambana na maadui na mafanikio yako yazidi.

3. Nguvu ya pesa, awamu iliyopita ilituonesha nguvu peke yake ya kuwa na pesa haitoshi, unahitaji nguvu ya kichawi na nguvu ya kiserikali mfano manji, lakini bado ni kigezo muhimu ya mafanikio na kuheshimika. Na kuwa juu.

Kama mnakumbuka Makonda alikuwa mkuu wa mkoa tu lakini alikuwa na nguvu za kiserikali kuliko hata mawaziri.

Matajiri wanapesa lakini wanapambana kuwa juu zaidi kiserikali na kiuchawi.

Imetosha
 
Pesa pekee haiwezi

Screenshot_20211123-153743_Samsung Internet.jpg
 
Hiyo point yako namba mbili ninamashaka nayo. Ingekuwa ni kweli, basi wale vigagula kule Sumbawanga wangekuwa wanasujudiwa.

Ukujaaliwa pesa (aidha za kuchuma mwenyewe au za kurithi), halafu uwe na network na watu wenye madaraka, basi mambo yako yatafanyikiwa.
 
Back
Top Bottom