mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa.
Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.
Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.