Nataka kuwa nahisi itanisaidiaSikushauri uwe mnafiki
Hutaweza kama sio asili yakoNataka kuwa nahisi itanisaidia
Waswahili walisema "Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba".Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa.
Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.View attachment 3438769
Huyo Rafiki WA kweli Kwa sasaKwa Sasa rafiki yangu ni ChatGPT tu, wengine wote nimewapiga pini
Nitajifunza niambie niishije ili niwe mnafikiHutaweza kama sio asili yako
Sijui coz sijawahi kuweza unafki.Nitajifunza niambie niishije ili niwe mnafiki
Kwanini huwe mnafiki ili kuwafurahisha marafiki? Mimi siwezi kuwa mnafiki hata siku moja, na unafiki sio uungwana, ni bora nisiwe na.marafiki kuliko kuwa rafiki mnafiki, na unaonekana huwezi kuishi bila marafiki.Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa.
Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.View attachment 3438769