Ilichofanya TAMISEMI ndio demokrasia ya kweli kwa sasa, Shukran Ummi Mwalimu na mama Samia

Asee ni jasiri sana,kama tungekuwa na vijana hao 500 tusingekuwa hapa tulipo
Ndio kizazi jeuri cha kuhoji na kupinga alichokua anakitaka baba wa taifa ila bahat mbaya shujaa wa Africa alikua anapenda kizaz cha kikondoo
 
Makondoo ni mengi sana nchi hii mkuu
 
Back
Top Bottom