Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,001 Jun 6, 2021 #21 Kibosho1 said: Asee ni jasiri sana,kama tungekuwa na vijana hao 500 tusingekuwa hapa tulipo Click to expand... Mnamjaza upepo dogo, mtamuharibu
Kibosho1 said: Asee ni jasiri sana,kama tungekuwa na vijana hao 500 tusingekuwa hapa tulipo Click to expand... Mnamjaza upepo dogo, mtamuharibu
ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 4,792 Reaction score 11,295 Jun 6, 2021 #22 Kibosho1 said: Asee ni jasiri sana,kama tungekuwa na vijana hao 500 tusingekuwa hapa tulipo Click to expand... Ndio kizazi jeuri cha kuhoji na kupinga alichokua anakitaka baba wa taifa ila bahat mbaya shujaa wa Africa alikua anapenda kizaz cha kikondoo
Kibosho1 said: Asee ni jasiri sana,kama tungekuwa na vijana hao 500 tusingekuwa hapa tulipo Click to expand... Ndio kizazi jeuri cha kuhoji na kupinga alichokua anakitaka baba wa taifa ila bahat mbaya shujaa wa Africa alikua anapenda kizaz cha kikondoo
K Kayaula Musa JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 694 Reaction score 719 Jun 6, 2021 #23 Fall Army Worm said: Mkuu Kwanini unaona km ni ajabu???. Kwani Serikali ipo kwaajili ya akina nani?. Kweli mfumo kandamizi ni mbaya sana yaani haki Yako unaona km Surprise?!!. Click to expand... Anachoshangaa namna wizara imelipa uzito napia haikuwa rahisi kujibiwa
Fall Army Worm said: Mkuu Kwanini unaona km ni ajabu???. Kwani Serikali ipo kwaajili ya akina nani?. Kweli mfumo kandamizi ni mbaya sana yaani haki Yako unaona km Surprise?!!. Click to expand... Anachoshangaa namna wizara imelipa uzito napia haikuwa rahisi kujibiwa
K Kayaula Musa JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 694 Reaction score 719 Jun 6, 2021 #24 Kibosho1 said: Majanga gani tena jamani [emoji848] Click to expand... Sio kwaselikari hii anachotaka mama nihoja tu
Kibosho1 said: Majanga gani tena jamani [emoji848] Click to expand... Sio kwaselikari hii anachotaka mama nihoja tu
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Jun 6, 2021 #25 Kayaula Musa said: Anachoshangaa namna wizara imelipa uzito napia haikuwa rahisi kujibiwa Click to expand... Asishangae,ndivyo ilipaswa kuwa.
Kayaula Musa said: Anachoshangaa namna wizara imelipa uzito napia haikuwa rahisi kujibiwa Click to expand... Asishangae,ndivyo ilipaswa kuwa.
Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,293 Jun 7, 2021 Thread starter #26 ujoka said: Ndio kizazi jeuri cha kuhoji na kupinga alichokua anakitaka baba wa taifa ila bahat mbaya shujaa wa Africa alikua anapenda kizaz cha kikondoo Click to expand... Makondoo ni mengi sana nchi hii mkuu
ujoka said: Ndio kizazi jeuri cha kuhoji na kupinga alichokua anakitaka baba wa taifa ila bahat mbaya shujaa wa Africa alikua anapenda kizaz cha kikondoo Click to expand... Makondoo ni mengi sana nchi hii mkuu
K Kisiran JF-Expert Member Joined Jun 7, 2020 Posts 217 Reaction score 269 Jun 7, 2021 #27 Kibosho1 said: Wamejibu kwa busara sana,heb waza dogo kama huyo anajibiwa na serikali!!! Ni ajabu sana Click to expand... Umewaza Vizuri sana
Kibosho1 said: Wamejibu kwa busara sana,heb waza dogo kama huyo anajibiwa na serikali!!! Ni ajabu sana Click to expand... Umewaza Vizuri sana