Ilichokifanya Yanga jana ni dhambi kubwa

Wakimataifa leo wamekutana na wabambe kuliko wao, wamerambishwa cone na Azam, te te te te.
 
Hahaha uliona mbali sana
Nne kwa sifuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unasubir dakika 90 zipi tena ...na saiv dakika ya89

 
Nilitamani yule jamaa wa kufuta matokeo angeyafuta na yale maana tulikuwa kwenye zone yake kiutawala. Yanga wana roho mbaya sana ila zile ni salamu tu kwa wale wanaojidai wao ndio wanajua soka then wanajifunga wenyewe.
Salamu zenu zilifika huu leo wauza koni wamerudisha majibu ya salamu
 
Ya jana yameshapita, leo umeona mlichofanywa na Azam?
Najua utakuja kukoment kesho hapa baada ya msongo wa mawazo kwa kutoamini kilichotokea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nawasiwasi mtani anaweza kusingizia ugonjwa siku tukiwa na mechi nao au asiingize timu uwanjani.

Lile shuti na Mahadhi lilikua balaa nasikia anadaiwa pesa kwa kuchana nyavu za watu..
Vipi hili LA mahundi
 
Nasikia wamekata rufaa wachezaji wa Ghana hawana vibali vya kufanya kazi Zanzibar. Rufaa itasikilizwa kesho kwa mujibu wa ZFA.
 
Wametumwa waangalizi azam kuzuia hizo unaita silaha
 
Ndio hivyo bana nkubwa washalambishwa lamba lamba na wazee wa kulambisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…