Wote wamepatwa na tumbo la kuhara. ARBA sio mchezo.Cc Makoye matare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wamepatwa na tumbo la kuhara. ARBA sio mchezo.Cc Makoye matare
Jamaa acha MATUSI, mkubwa wewe.Wakimataifa leo wamekutana na wabambe kuliko wao, wamerambishwa cone na Azam, te te te te.
Nne kwa sifuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unasubir dakika 90 zipi tena ...na saiv dakika ya89
Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.
Salamu zenu zilifika huu leo wauza koni wamerudisha majibu ya salamuNilitamani yule jamaa wa kufuta matokeo angeyafuta na yale maana tulikuwa kwenye zone yake kiutawala. Yanga wana roho mbaya sana ila zile ni salamu tu kwa wale wanaojidai wao ndio wanajua soka then wanajifunga wenyewe.
Leo wamecheza na wauza cola naona wamemaliza mjadala waoYanga jana mmecheza na wavuvi wa pweza kisha mnatupigia kelele humu
Leo alikua uwanjani huyu mbrazili au alirushwaJecha kafanya yake,matokeo ya Yanga 6 Jamuhuri 0,yamefutwa maana Yanga,aka wa kimataifa walichezesha mchezaji mwenye mimelea vya Kibrazil.
Vipi hili LA mahundiNawasiwasi mtani anaweza kusingizia ugonjwa siku tukiwa na mechi nao au asiingize timu uwanjani.
Lile shuti na Mahadhi lilikua balaa nasikia anadaiwa pesa kwa kuchana nyavu za watu..
Wametumwa waangalizi azam kuzuia hizo unaita silahaWalichokifanya Jana Yanga tayari shirika la haki za binadamu litatoa kauli nzito hivi karibuni. Ata rais mteule wa Marekani ametishia kufuta ziara ya Yanga nchini mwake maana anaogopa maafa, na amesema Msuva na Ngoma ni silaha hatari za maangamizi na lazima uitishwe mkutano wa haraka wa kukemea matumizi ya Silaha Msuva na Silaha Ngoma.
Leo kaingia shimo LA nyokaNi mdudu ambae akikuta shimo anazama haangalii hili kubwa au dogo,hata msimbazi linaweza ingia,kila kitundu ni haki yake
Kumbe mkikutana na wala koni na nyie mchele mchele mwaliwa nyama tuuwameyataka wenyewe. wao wanakula urojo huko zenji, wanataka kucheza na yanga wanaokula ugali? safi sana yanga.
Silaha zenyewe zimegunduliwa ni poda hivyo zimeoshwa na juisi ya Azam.Wametumwa waangalizi azam kuzuia hizo unaita silaha
Ndio hivyo bana nkubwa washalambishwa lamba lamba na wazee wa kulambishaKwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.
Imelambishwa lambalambaMkuu timu yangu pendwa ya Kimataifa imefanya nn tena?
Leo wamebakwa waonikisema wamebaka sijui ntakua nakosea
Mchelemchele wewe mwenyeweKumbe mkikutana na wala koni na nyie mchele mchele mwaliwa nyama tuu