Ilichokifanya Yanga jana ni dhambi kubwa

Ilichokifanya Yanga jana ni dhambi kubwa

Wakimataifa leo wamekutana na wabambe kuliko wao, wamerambishwa cone na Azam, te te te te.
 
Hahaha uliona mbali sana
Nne kwa sifuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unasubir dakika 90 zipi tena ...na saiv dakika ya89

Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.
 
Nilitamani yule jamaa wa kufuta matokeo angeyafuta na yale maana tulikuwa kwenye zone yake kiutawala. Yanga wana roho mbaya sana ila zile ni salamu tu kwa wale wanaojidai wao ndio wanajua soka then wanajifunga wenyewe.
Salamu zenu zilifika huu leo wauza koni wamerudisha majibu ya salamu
 
Ya jana yameshapita, leo umeona mlichofanywa na Azam?
Najua utakuja kukoment kesho hapa baada ya msongo wa mawazo kwa kutoamini kilichotokea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nawasiwasi mtani anaweza kusingizia ugonjwa siku tukiwa na mechi nao au asiingize timu uwanjani.

Lile shuti na Mahadhi lilikua balaa nasikia anadaiwa pesa kwa kuchana nyavu za watu..
Vipi hili LA mahundi
 
Nasikia wamekata rufaa wachezaji wa Ghana hawana vibali vya kufanya kazi Zanzibar. Rufaa itasikilizwa kesho kwa mujibu wa ZFA.
 
Walichokifanya Jana Yanga tayari shirika la haki za binadamu litatoa kauli nzito hivi karibuni. Ata rais mteule wa Marekani ametishia kufuta ziara ya Yanga nchini mwake maana anaogopa maafa, na amesema Msuva na Ngoma ni silaha hatari za maangamizi na lazima uitishwe mkutano wa haraka wa kukemea matumizi ya Silaha Msuva na Silaha Ngoma.
Wametumwa waangalizi azam kuzuia hizo unaita silaha
 
Kwa kweli kila nikisema ninyamaze roho inakataa,nimeona nisikae na kitu kikaniuma,imeniuma sana,imenisikitisha sana,hakika yanga wanastahili adhabu kali sana,watu gani hawana huruma nabinadam wenzao?roho mbaya hii wameitoa wapi?wameanza lini kula vitu kwa pupa?kwa lile gharika la jana ambalo pengine halikuwahi kutokea kwa nchi yetu karne za karibuni sitashaghaa yanga wakilamba adhabu kali.
Ndio hivyo bana nkubwa washalambishwa lamba lamba na wazee wa kulambisha
 
Back
Top Bottom