Iliitwa bunduki kabla hujachanganya dawa unahitaji mafuta ya taa

Iliitwa bunduki kabla hujachanganya dawa unahitaji mafuta ya taa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1653931786357.png
 
Du nyinyi watoto mlikulia na ex-pell haya ma bunduki yamyafahamu, saa 12 jioni unatumwa upulize vyumba vyote ili muda wa kwenda kulala mbu wawe wameshakufa na dawa imepingua makali.
Waambie aisee "Old is Gold". Ya pale home kwetu kitako(Base)chake kilipata kutu kikatoboka na kaka akaihifadhi tu kwa nia ya kuipeleka maintenance kuziba kwa risasi kwa wachomea vibatari (mdudu). Najua hapo vijana wa Dot.com nimewaacha sana....Poleni. 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 😂
 
Du nyinyi watoto mlikulia na ex-pell haya ma bunduki yamyafahamu, saa 12 jioni unatumwa upulize vyumba vyote ili muda wa kwenda kulala mbu wawe wameshakufa na dawa imepingua makali.
Aisee kumbe,nakumbuka nilikuwa naiona ila sikuwahi kuona ikitumika nadhani ndio ndio expell zilishaingia
 
Aisee kumbe,nakumbuka nilikuwa naiona ila sikuwahi kuona ikitumika nadhani ndio ndio expell zilishaingia
Ex-pel za ushuwani huku Kwamtogole tulitumia bunduki tu, dawa wanaofanya kazi viwandani wanakupitishia unachangnya na mafuta ya taa.
 
Halafu ukitumia nguvu sana inakwapuka pale kwenye maungio, inabidi uipeleke kwa fundi koroboi anaiunga na risasi....kazi inaendelea....
 
Back
Top Bottom