Nzuri sana kwa kudhibiti Mende, Kunguni, Viroboto, Mbu, Nzi na Utitiri. Dawa Sumu unajiandalia mwenyewe. Siku hizi eti kuna
Du nyinyi watoto mlikulia na ex-pell haya ma bunduki yamyafahamu, saa 12 jioni unatumwa upulize vyumba vyote ili muda wa kwenda kulala mbu wawe wameshakufa na dawa imepingua makali.Hivi ilikuwa inakazi gani hii?niliwai kuiona home?
Waambie aisee "Old is Gold". Ya pale home kwetu kitako(Base)chake kilipata kutu kikatoboka na kaka akaihifadhi tu kwa nia ya kuipeleka maintenance kuziba kwa risasi kwa wachomea vibatari (mdudu). Najua hapo vijana wa Dot.com nimewaacha sana....Poleni. πββοΈ πββοΈ πDu nyinyi watoto mlikulia na ex-pell haya ma bunduki yamyafahamu, saa 12 jioni unatumwa upulize vyumba vyote ili muda wa kwenda kulala mbu wawe wameshakufa na dawa imepingua makali.
Aisee kumbe,nakumbuka nilikuwa naiona ila sikuwahi kuona ikitumika nadhani ndio ndio expell zilishaingiaDu nyinyi watoto mlikulia na ex-pell haya ma bunduki yamyafahamu, saa 12 jioni unatumwa upulize vyumba vyote ili muda wa kwenda kulala mbu wawe wameshakufa na dawa imepingua makali.
Ex-pel za ushuwani huku Kwamtogole tulitumia bunduki tu, dawa wanaofanya kazi viwandani wanakupitishia unachangnya na mafuta ya taa.Aisee kumbe,nakumbuka nilikuwa naiona ila sikuwahi kuona ikitumika nadhani ndio ndio expell zilishaingia