Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
Hakuwepo Mkwawa Wala Kabaka.
Kama vpande vya keki[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vpande vya keki[emoji28][emoji28]
Walikuwepo kina Richard TurnbullHakuwepo Mkwawa Wala Kabaka.
Unachobisha nini hapo hiyo historia inajielezea kabisa huko mbulu wana asili ya ethiopiaHakuna swali mkuu ,kama Mbulu weupee peee , singida weepe peee , tabora wanayamwezi weupe peee ,zanzibar wapemba weeupe peeee!!
mkuu lakini hao unaowataja wana tamaduni zinazofanana, sudani wa kas na kus wana tamaduni tofauti kabisaKwanza tambua hili bara ni moja na lina features tofauti tofauti ndani yake na watu tofauti tofauti ndani yake na kazi hiyo imefanywa na Mungu Mwenyewe (kwasisi tunao amini ktk Mungu...
Sijabisha mkuu.Unachobisha nini hapo hiyo historia inajielezea kabisa huko mbulu wana asili ya ethiopia
Mkuu mada hii umeiandika kwa dhana.Sudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio wanaongoza kwa weusi.
Ilikuaje ikawa hivi?
Au wale wa kaskazini ni walowezi? Maana hawafanani hata kidogo japo ilikuwa nchi moja.
Mkuu Jane hivi hii avatar ni yako au tuendelee kumngoja mwingine.Watakuja kukujibu kina Habibu B. Anga
Jiographia ya kaskazini na kusini mwa Afrika inajieleza vizuri sana. Tunategemea kaskazini inayopakana na Misri kuwe na waarabu na kusini inayopakana na Kenya na Uganda kuwe na wabantu, walipogawanya nchi ikawa hivyo hivyo, mbona rahisi?Sudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio wanaongoza kwa weusi.
Ilikuaje ikawa hivi?
Au wale wa kaskazini ni walowezi? Maana hawafanani hata kidogo japo ilikuwa nchi moja.
Sio rangi tu,Mpaka Dini,hao Weusi ni wa Kristo na Waarabu ni WaislamSudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio wanaongoza kwa weusi.
Ilikuaje ikawa hivi?
Au wale wa kaskazini ni walowezi? Maana hawafanani hata kidogo japo ilikuwa nchi moja.
Wewe ndiyo umemaliza makandokando yote.Hii hapa angaliaView attachment 1511651
Sudan maana yake land of black people hicho n kiarabu....Sudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio wanaongoza kwa weusi.
Ilikuaje ikawa hivi?
Au wale wa kaskazini ni walowezi? Maana hawafanani hata kidogo japo ilikuwa nchi moja.
Ahsante sana kwa ufafanuzi wako, lakini hawa waarabu walikaa kasakazini pekee chief?Sudan maana yake land of black people hicho n kiarabu....
So waarabu kwa Mara ya Kwanza wanafika hayo maeneo wakayapa jina la Sudan wakimaanisha ardhi ya mtu mweusi....
uvamizi wa waarabu waliokua wakifanya biashara za watumwa ...
Ikumbukwe kuwa waarabu hawanaga tabia ya kurudi kwao...
So kwa asili native people wa ukanda wa mto Nile ni wasudan weusi tii Kama mkaa wanaoitwa nilotic....
So baada ya miaka mingi ya utumwa na muingiliano wa waarabu hasa wengi wakitokea Misri na middle East ndo ikafanya kuwepo kwa waarabu wengi na machotara ambao wametokana na muingiliano wa waarabu na wanilotic
mbona Libya na Algeria zimepakana na Niger na chad lakini haziko hiviJiographia ya kaskazini na kusini mwa Afrika inajieleza vizuri sana. Tunategemea kaskazini inayopakana na Misri kuwe na waarabu na kusini inayopakana na Kenya na Uganda kuwe na wabantu, walipogawanya nchi ikawa hivyo hivyo, mbona rahisi?