Ilikuaje ukapata ugonjwa wa muda mrefu/kudumu?

Ilikuaje ukapata ugonjwa wa muda mrefu/kudumu?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
wakuu,

Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika.

Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa.

Nadhan wapo wengine ambao wamepata magonjwa ya kudumu kama pressure, kisukari na ukimwi.
TUFARIJIANE
 
Magonjwa mengi ya kuanzia miaka 40+ ni fujo za ujana

  • Sigara na shisha - Presha, Cancer ya fizi, koo, mapafu, n.k.
  • Pombe - Homa ya ini, Mawe ya kibofu, Presha
  • Ngono zembe - UTI ambayo haiwezi kuja kutibika, Ukimwi, watoto wa nje, n.k.
  • Punyeto na Porn - nguvu za kiume, Usahaulifu uliopindukia (ukungu kwenye ubongo)
  • Kuendekeza kula vyakula vyenye mafuta hasa vya kukaangwa - Magonjwa ya moyo
  • Kutumia sana electronics - matatizo ya macho, masikio, kupinda mgongo,
  • Soda, energy drinks, grand malt, juisi za viwandani, n.k. - Kisukari
  • Kudhulumu haki za watu kwa maslahi binafsi (wizi, utapeli, rushwa, n.k) - vilio vyao havikuachi salama, kuna namna utalipa hata kama utakuwa tajiri wa pesa.
Kijana kunywa si chini ya lita 1 ya maji kila siku, kama ni pombe kunywa mara 1 au 2 kwa wiki or special occasions, Kama ni mvutaji wa sigara acha, Tafuta mwenza mtulie pamoja acha kuchovya chovya, Kula sana mboga za majani na matunda, hizi chips na vyakula vya kukaangwa epuka ama punguza sana, Tafuta sana pesa fainali uzeeni lakini usidhulumu, kuiba, kuua, n.k.
 
wakuu,
Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika.

Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa.


Nadhan wapo wengine ambao wamepata magonjwa ya kudumu kama pressure ,kisukari na ukimwi.
TUFARIJIANE
mimi nilisumbuliwa na ugonjwa wa macho yani photophobia kwa miaka 7 ila nashukuru mungu kwa sasa atleast niko vizuri kupitia dawa ambazo nilitumia pia nilipunguza screentime ilinisaidia sana

Ova

Taja unaumwa nini masihara masihara kumbe unangoma unaogopa kutaja utakosa papuchi jf😁(utani)

NB.maelezo haya hayana uhusiano wa moja kwa moja na mtoa uzi
 
Back
Top Bottom