Ilikuaje ukapata ugonjwa wa muda mrefu/kudumu?

Magonjwa mengi ya kuanzia 40s ni fujo za ujana

Sigara na shisha - Presha, Cancer ya fizi, koo, mapafu, n.k.
Pombe - Homa ya ini, Mawe ya kibofu, Presha
Ngono zembe - UTI ambayo haiwezi kuja kutibika, Ukimwi, n.k.
Punyeto na Porn - nguvu za kiume, Usahaulifu uliopindukia (ukungu kwenye ubongo)
Hapo kwenye nyeto hapo🤭
 
Magonjwa mengi ya kuanzia 40s ni fujo za ujana

  • Sigara na shisha - Presha, Cancer ya fizi, koo, mapafu, n.k.
  • Pombe - Homa ya ini, Mawe ya kibofu, Presha
  • Ngono zembe - UTI ambayo haiwezi kuja kutibika, Ukimwi, watoto wa nje, n.k.
  • Punyeto na Porn - nguvu za kiume, Usahaulifu uliopindukia (ukungu kwenye ubongo)
  • Kuendekeza kula vyakula vyenye mafuta hasa vya kukaangwa - Magonjwa ya moyo
  • Kutumia sana electronics - matatizo ya macho, masikio, kupinda mgongo,
  • Rushwa na pesa za mkato - vilio vya uliowaibia havikuachi salama, kuna namna utalipa
Aisee
 
📌90% ya muda wangu nilikua natumia computer
📌pia matumizi ya smartphone kwa muda mrefu
💥mwanga uliozidi kiwango ambao ulikua unasababishwa na taa sita zilizopo kwa kila darasa
Aisee kwaiyo saizi macho mekunduu
 
Magonjwa mengi ya kuanzia 40s ni fujo za ujana

  • Sigara na shisha - Presha, Cancer ya fizi, koo, mapafu, n.k.
  • Pombe - Homa ya ini, Mawe ya kibofu, Presha
  • Ngono zembe - UTI ambayo haiwezi kuja kutibika, Ukimwi, watoto wa nje, n.k.
  • Punyeto na Porn - nguvu za kiume, Usahaulifu uliopindukia (ukungu kwenye ubongo)
  • Kuendekeza kula vyakula vyenye mafuta hasa vya kukaangwa - Magonjwa ya moyo
  • Kutumia sana electronics - matatizo ya macho, masikio, kupinda mgongo,
  • Rushwa na pesa za mkato - vilio vya uliowaibia havikuachi salama, kuna namna utalipa
Kongole mwamba umeupiga mwingi sana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magonjwa mengi ya kuanzia 40s ni fujo za ujana

  • Sigara na shisha - Presha, Cancer ya fizi, koo, mapafu, n.k.
  • Pombe - Homa ya ini, Mawe ya kibofu, Presha
  • Ngono zembe - UTI ambayo haiwezi kuja kutibika, Ukimwi, watoto wa nje, n.k.
  • Punyeto na Porn - nguvu za kiume, Usahaulifu uliopindukia (ukungu kwenye ubongo)
  • Kuendekeza kula vyakula vyenye mafuta hasa vya kukaangwa - Magonjwa ya moyo
  • Kutumia sana electronics - matatizo ya macho, masikio, kupinda mgongo,
  • Rushwa na pesa za mkato - vilio vya uliowaibia havikuachi salama, kuna namna utalipa
hiyo ya mwishoni nayo ni ugonjwa
 
Back
Top Bottom